That line is kind of convoluted, ebu elaborate plse
Wanapenda watu wa ndio sana na wa bure bure tu,uniite popote nije,unilaze popote mi sawa tu,unipeleke dinner popote mi sawa tu,unijibu vyovyote mi nikubali tu,unidanganye mara 70 mi nimchekee tu,huna msaada kwangu mi nikukumbatie tu na mwili wangu nikupe,unapotaka sex mi kama sex toy wako lazima niwe tayari la sivyo utaenda kwa kwengine,nikitaka kwenda piga soga na wanaume marafiki zangu,we ukasirike unitishie kuniacha mi nisiende,unipe kazi za kukupasia na kukufulia hata kama nimechoka nifanye tu?Unichagulie kazi ya kufanya na mahali pa kufanya hiyo kazi mi nikubali tu.......In short GFM,if you can not make me a better person and there is nothing am gaining not financially but in many perspective then i simply tell men to bug off,if they have nothing to offer except their sperms and ego.............they can look for those who need 'just" a man.....................LOL
No comments maana hawa unaowazungumzia hapa nadhani ni rare type uncommon in the place i live.Wanapenda watu wa ndio sana na wa bure bure tu,uniite popote nije,unilaze popote mi sawa tu,unipeleke dinner popote mi sawa tu,unijibu vyovyote mi nikubali tu,unidanganye mara 70 mi nimchekee tu,huna msaada kwangu mi nikukumbatie tu na mwili wangu nikupe,unapotaka sex mi kama sex toy wako lazima niwe tayari la sivyo utaenda kwa kwengine,nikitaka kwenda piga soga na wanaume marafiki zangu,we ukasirike unitishie kuniacha mi nisiende,unipe kazi za kukupasia na kukufulia hata kama nimechoka nifanye tu?Unichagulie kazi ya kufanya na mahali pa kufanya hiyo kazi mi nikubali tu.......In short GFM,if you can not make me a better person and there is nothing am gaining not financially but in many perspective then i simply tell men to bug off,if they have nothing to offer except their sperms and ego.............they can look for those who need 'just" a man.....................LOL
Wanapenda watu wa ndio sana na wa bure bure tu,uniite popote nije,unilaze popote mi sawa tu,unipeleke dinner popote mi sawa tu,unijibu vyovyote mi nikubali tu,unidanganye mara 70 mi nimchekee tu,huna msaada kwangu mi nikukumbatie tu na mwili wangu nikupe,unapotaka sex mi kama sex toy wako lazima niwe tayari la sivyo utaenda kwa kwengine,nikitaka kwenda piga soga na wanaume marafiki zangu,we ukasirike unitishie kuniacha mi nisiende,unipe kazi za kukupasia na kukufulia hata kama nimechoka nifanye tu?Unichagulie kazi ya kufanya na mahali pa kufanya hiyo kazi mi nikubali tu.......In short GFM,if you can not make me a better person and there is nothing am gaining not financially but in many perspective then i simply tell men to bug off,if they have nothing to offer except their sperms and ego.............they can look for those who need 'just" a man.....................LOL
orait.......what if we make that limbwata kwenye form ambayo wataenjoy.......
(nimecheka sana kabla ya kuandika hii sentence)
(najaribu kufikiria lingekuwa halina madhara afu linawekwa kupitia mlango wa tigo............. Sijui wangapi wangeliomba wenyewe tena kwa kulilia!!)
BAK ni kweli mapenzi hayana dawa but on second thought.................... why dont you think this way...macare na malavidavi upewayo ni limbwata la aina yake?.........lol why utizame limbwata lenyewe na usizingatie nia na madhumuni ya yeye kukulimbwata?
...Afu na wewe umeniletea kitu ingine hapa.......hivi mwanaume anapomwekea mkewe/mpenziwe tego ..........anampenda kweli???!!Kina kitu kinaitwa tego...nadhani inafanana kimtizamo na limbwata, ila mara nyingi inatumika kwa wanawake.....
Sidhani kama kuna mwanamke atafurahia akijua mme wake amemwekea tego (ili asitoke au akitoka akamatwe akitoka nje ya uhusiano yake).....hii ina maana rahisi ya kutoaminiana!
In any case hatupaswi ku-modify mapenzi!
Orait.......oraiton second thot, thanks luv 4 zis posht
niseme 2 kwamba kwa vile limbwata linawekwa bila mhusika kujua, na wakati mwingine kwa nia mbaya, iyo inaondoa maana nzima,
limwbata la kweli liwepo kwa njia za kawaida za mapenzi, mapishi, maufundi, etc
njoo ufanyiwe maombi!
...Afu na wewe umeniletea kitu ingine hapa.......hivi mwanaume anapomwekea mkewe/mpenziwe tego ..........anampenda kweli???!!
Kwa nini asizuie badala ya kuharibu? Yaani badala ya kumwekea tego si amwekee limbwata tu ili asione wanaume wengine??
Mimi Tego silifananishi na limbwata ...................Babu R.R Shikamoo
jamani jamani mwanajamiione.....!
i think you are going too far
Orait ....orait nimekuelewa Babu hasa hapo kwenye red ndo penyewe.Nadhani wanaume hawana limbwata....wana tego....
Hebu elezea hisia za mwanamke akigundua amewekewa tego...ni wazi kwamba atajua haaminiki....na kukiwa na hisia za kukosa uaminifu basi mapenzi yanaingia nyongo....
Marahaba mjukuu.......nimeishiwa kabisa ugoro....
on second thot, LUV, hawa babu zako wanainclude na hao wa ujombani?
jioni kiuona kitaitaji limbwata!
Babu Teamo..............how too far is it jamani??jamani jamani mwanajamiione.....!
i think you are going too far