Tatize letu wa-Afrika, we don't want to think "out of the box" ukisharuka na unga hata kushare hiyo knowledge naBAbu Acid nakubaliana nawe kabisa....... am just thinging loudly...its like kuruka na ungo in Africa unaitwa Uchawi, but Wazungu kurusha ndege angani ,,,,,,its called scientific development lol
BAbu Acid nakubaliana nawe kabisa....... am just thinging loudly...its like kuruka na ungo in Africa unaitwa Uchawi, but Wazungu kurusha ndege angani ,,,,,,its called scientific development lol
Mi sishauri limbwata kwasababu moja tu........ITS NOT A SUSTAINABLE SOLUTION, si ya kudumu Mwanajamii 1,ni kitu cha muda....kuna solution nyingine zisizo za haraka haraka ambazo zawe mfanya huyo mwanaume awe wako na akupende wewe pekee though ni ngumu...Nafikiri pia inabore kuwa na lianaume lisiloku-challenge kidogo kuwa kuna wenzio.............LOL,mwanaume abaki kuwa mwanaume,ina raha yake pia!
Mwanaume anayetoa limbwata linazungumzwa hapa huyo sio mwanaume ..........kwa mtazamo wangu, no offense.Wanaume pia hutuwekea limbwata GFM?uanlionaje hilo la limbwata kutoka kwa mwanaume?
Tatize letu wa-Afrika, we don't want to think "out of the box" ukisharuka na unga hata kushare hiyo knowledge na
wenzio (investment) hutaki hahah ndio maana tunaitana wachawi and the like.
since utakuwa tayari umefanya kwa kupenda nadhani unaridhika tu. Tena unajiona mshindi sana.
Michelle, I second u here! tatizo letu ni kwamba tunapenda short cuts, period! I like the saying "No pain no gain" ufisadi kila konaMi sishauri limbwata kwasababu moja tu........ITS NOT A SUSTAINABLE SOLUTION, si ya kudumu Mwanajamii 1,ni kitu cha muda....kuna solution nyingine zisizo za haraka haraka ambazo zawe mfanya huyo mwanaume awe wako na akupende wewe pekee though ni ngumu...Nafikiri pia inabore kuwa na lianaume lisiloku-challenge kidogo kuwa kuna wenzio.............LOL,mwanaume abaki kuwa mwanaume,ina raha yake pia!
Bro............just know wapo wanaume wanaowalimbwata wanawake...........Mwanaume anayetoa limbwata linazungumzwa hapa huyo sio mwanaume ..........kwa mtazamo wangu, no offense.
Limbwa la mwanaume caring, helping, loving, crying together na vitu kama hivyo, inatosha!! si nasikia hivi vitu
vina-expiry date pia?!
I providing tigo a solution? why hawaipingi kama wanavyokataa limbwata?
Come out of the wad rob, sell the idea. Gay na lesbian wanakaribia kukubalika nchi nyingi sasa.......theyHow are they ggoing to share wakati tayari wamepewa bad names?
Kwa mtizamo wangu, hao sio wanaume.............. na hiyo dawa wanaenda kuipata wapi?Bro............just know wapo wanaume wanaowalimbwata wanawake...........
utakuwa unajivunua kabisa kwamba unapendwa? Kikubwa utakachofanya jamaa atakuwa zuzu tu na ita leta madhara kwake kwenye maisha yake ya kawaida na itafikia wakati ndugu zake pia wataona haya mabadiriko ya ghafla na ndio utakapo kamatwa kwamba umemkaanga mwenzako na utajuta.
Kama mnapenda tayari ni kitu gani ambacho kinakufanya uongezee limbwata ? Hapo ndio nashindwa kuelewa.
Mwanaume anayetoa limbwata linazungumzwa hapa huyo sio mwanaume ..........kwa mtazamo wangu, no offense.
Limbwa la mwanaume caring, helping, loving, crying together na vitu kama hivyo, inatosha!! si nasikia hivi vitu
vina-expiry date pia?!
mbona watu mnakwepa swali? Limbwata ni nini? Nataka recipe yake....
Kwa mtizamo wangu, hao sio wanaume.............. na hiyo dawa wanaenda kuipata wapi?
yote ni sehemu ya kutojiamini,kama mwanamke yuko strong na anajiamini anaweza kumkatalia jamaa wake tigo na maamuzi yake yaka heshimimiwa.
hao ni wanaume kabisa gfm,wako kama denzel washngton! Ukitaka dawa zinapopatikana uliza manake naona unahitaji sema unajidai hutaki........lol,muone na meno yako!
Utakuwa unajivunua kabisa kwamba unapendwa? kikubwa utakachofanya jamaa atakuwa zuzu tu na ita leta madhara kwake kwenye maisha yake ya kawaida na itafikia wakati ndugu zake pia wataona haya mabadiriko ya ghafla na ndio utakapo kamatwa kwamba umemkaanga mwenzako na utajuta.
kama mnapenda tayari ni kitu gani ambacho kinakufanya uongezee limbwata ? hapo ndio nashindwa kuelewa.