hermanthegreat JF-Expert Member Mar 2, 2021 860 2,049 Dec 6, 2023 #1 Hello jf members Angekuwa mtu mngine humu angeshatangaza mitandaoni kwamba anaelekea South Africa. Ila mimi naenda kimyakimya. Nitakuwa nanotice na kuwajuza mambo ya tofauti nayo experience.
Hello jf members Angekuwa mtu mngine humu angeshatangaza mitandaoni kwamba anaelekea South Africa. Ila mimi naenda kimyakimya. Nitakuwa nanotice na kuwajuza mambo ya tofauti nayo experience.
Edo kissy JF-Expert Member Mar 21, 2022 1,990 5,655 Dec 6, 2023 #2 hermanthegreat said: Hello jf members Angekuwa mtu mngine humu angeshatangaza mitandaoni kwamba anaelekea South Africa,. Ila mimi naenda kimya kimya. Nitakuwa nanotice na kuwajuza mambo ya tofauti nayo experience. Click to expand... Sawaa😂,
hermanthegreat said: Hello jf members Angekuwa mtu mngine humu angeshatangaza mitandaoni kwamba anaelekea South Africa,. Ila mimi naenda kimya kimya. Nitakuwa nanotice na kuwajuza mambo ya tofauti nayo experience. Click to expand... Sawaa😂,
makaveli10 JF-Expert Member Mar 27, 2013 28,346 81,597 Dec 6, 2023 #3 Kila la kheri. Mzee una haraka mpaka unakosea kuandika. 😂🤣
Half american JF-Expert Member Sep 21, 2018 27,069 70,595 Dec 6, 2023 #4 hermanthegreat said: Angekuwa mtu mngine humu angeshatangaza mitandaoni kwamba anaelekea South Africa,. Ila mimi naenda kimya kimya. Click to expand... Kupata kituko hiki bonyeza kitufe cha nyota (*) Kwahiyo hapa ulipotangaza sio mtandaoni?
hermanthegreat said: Angekuwa mtu mngine humu angeshatangaza mitandaoni kwamba anaelekea South Africa,. Ila mimi naenda kimya kimya. Click to expand... Kupata kituko hiki bonyeza kitufe cha nyota (*) Kwahiyo hapa ulipotangaza sio mtandaoni?
Red black JF-Expert Member Nov 29, 2019 2,556 6,289 Dec 6, 2023 #7 mshamba_hachekwi said: View attachment 2835029 Click to expand... CHAI ya usiku kunywa taratibu
shamzugi JF-Expert Member Feb 28, 2021 493 999 Dec 6, 2023 #8 hermanthegreat said: Hello jf members Angekuwa mtu mngine humu angeshatangaza mitandaoni kwamba anaelekea South Africa,. Ila mimi naenda kimya kimya. Nitakuwa nanotice na kuwajuza mambo ya tofauti nayo experience. Click to expand... Si ndo ushatangaza mkuu?? Au tusubiri tangazo rasmi kutoka kwa msemaji wako??😅
hermanthegreat said: Hello jf members Angekuwa mtu mngine humu angeshatangaza mitandaoni kwamba anaelekea South Africa,. Ila mimi naenda kimya kimya. Nitakuwa nanotice na kuwajuza mambo ya tofauti nayo experience. Click to expand... Si ndo ushatangaza mkuu?? Au tusubiri tangazo rasmi kutoka kwa msemaji wako??😅
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 71,177 94,515 Dec 6, 2023 #9 hermanthegreat said: Hello jf members Angekuwa mtu mngine humu angeshatangaza mitandaoni kwamba anaelekea South Africa,. Ila mimi naenda kimya kimya. Nitakuwa nanotice na kuwajuza mambo ya tofauti nayo experience. Click to expand... Kumbuka serikali imeipiga marufuku...
hermanthegreat said: Hello jf members Angekuwa mtu mngine humu angeshatangaza mitandaoni kwamba anaelekea South Africa,. Ila mimi naenda kimya kimya. Nitakuwa nanotice na kuwajuza mambo ya tofauti nayo experience. Click to expand... Kumbuka serikali imeipiga marufuku...