Wellcome again.Aawww jamaniiii....... unajua nini.....
Nimefurahi tuu, japo huwa natabasamu muda mwingi ila.... ujumbe wako umenijaza tabasamu usoni.
Let's cruise together in Naii hope you'll enjoy the waves.
Cheers Sesten.
Poa poa.Hapo ntapita jumatatu jioni maana jumatano narudi SA.
You surely can count on me Kasie, never before have I been disappointed by you....safari itakua so wonderful, atleast its my hope and wishAawww jamaniiii....... unajua nini.....
Nimefurahi tuu, japo huwa natabasamu muda mwingi ila.... ujumbe wako umenijaza tabasamu usoni.
Let's cruise together in Naii hope you'll enjoy the waves.
Cheers Sesten.
yan km nikiwa na ww why not?!!!!!Nakeyi Nairobi. ....
Wajua kucheza zouk??!
You surely can count on me Kasie, never before have I been disappointed by you....safari itakua so wonderful, atleast its my hope and wish
utaskia kutoka nyuma ya pazia hawa nao wanacheza kizee wakati umri wao bado wanaonekan km vijana 2......kwann wasiDABHahahahahaha haya anza kuusikikiza huu wimbo na kuufanyia mazoezi, tukikutana kabla ya salamu tunaanza kucheza pamoja halafu ndo salamu inagusana na hug baadae hehehe.
I fantasize cruising for I love site seeing , how about starting from Dar via tanga and Mombasa? We will be exploring the beauty of the cities of, Voi, Nakuru with a night break at Eldoret and breath taking Rift Valley, will that be too long a route for you Kasie?OK sasa basi kaa mkao wa safari my next off l'll give you a buzz for our trip to Naii. Should it be driving or airplane? Whichever you choose am fine as I love travelling.
Just stay alert, ila waishi wapi ili nijue mapema off ya siku ngapi itatutosha. Mie ntatokea SA.
I fantasize cruising for I love site seeing , how about starting from Dar via tanga and Mombasa? We will be exploring the beauty of the cities of, Voi, Nakuru with a night break at Eldoret and breath taking Rift Valley, will that be too long a route for you Kasie?
Me sio bibi mimi ni babuShkamoo bibi mwenzangu.
Sijajua pia, ila inaweza ikawa hivyo aise au kwa kuwa wadau walisema Demiss ana story kama za Gudume basi Demiss ndio akaamua aweke avatar yake.Hivo kumbee, hata sikuwa nimeona. Naona habari ya mjini saa hizi mkishakubaliana basi ni kubadilishana avatar tuu. Kwahiyo GuDume nae anatumia avatar ya demiss?