On my way to Nairobi...

On my way to Nairobi...

kasie motooooo matataaaa...

Ooh yeeaaah. .....

Kasie Fireee it's very hot down here.....

Inabamba hatareeee, jamani jamani Nairobi. ... nioneeni huruma nirudi salama SA na parchichi yangu looh sio kwa utamu huu nnaouramba hapa Naii.... chaa! !

Wasapee chalii.....!!! hehehehhe.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
PANDA BASI UJE ARUSHA kuna parachichi na mchele mzuri sana toroka uje arusha

No I can't I have to go back SA and submit a report. Siku nikija Dar ntakufuta.
 
Kama unataka kufeel upo Europe usiache kupita The hub Karen Mall au Two Rivers Mall utapata maduka makubwa (hypermarket)French giant retail Carrefour.Nairobi ni pazuri sana nimeshaishi hapo, tz hakuna mji wakufananisha na nairobi labda arusha kwa hali ya hewa.Enjoy your stay.
 
Habari zenyuu,

Vile ajira yangu ni ya kutumwatumwa basi muda wote pasi yangu ya kusafiria iko juu kama mistachii.

Jana kuna propozo ililetwa mezani kwa bosi basi baada ya majibizano ya hapa na pale kati ya mabosi, nikapigiwa simu kwenye ektensheni yangu, Kasie tomorrow (ambayo ni leo) you go to Nairobi to seal the deal.

Basi na nnavopenda kusafiri utasema nilikula miguu ya kuku heheheheheh.

Boarding SAA to Nairobi..... see you soon NBI pipoz, wananifurahishaga na ile salamu yao.... NIAJE... POAAH! !!

Mwanamke nyonga makalio mapambo tuu hehehehhe. Mbilia kanipa mzuka wa kucheza zouk kwa kunengua kama hutaki huku unataka kama umefungasha mzigo mkubwa nyuma kumbe..... kashata tuu heheheheh.

Madam Mbilia Bel ndo namsikiliza hadi nitue Jomo Kenyata Airport.

Nakeyi Nairobi.

Kasie Marhaba aka Mahaba.

Kumbe huna chura? ??
 
Kama unataka kufeel upo Europe usiache kupita The hub Karen Mall au Two Rivers Mall utapata maduka makubwa (hypermarket)French giant retail Carrefour.Nairobi ni pazuri sana nimeshaishi hapo, tz hakuna mji wakufananisha na nairobi labda arusha kwa hali ya hewa.Enjoy your stay.

Thanks huko nishapelekwa, japo nikiwa safari za kikazi huwa sifanyi shopping... just chilling.
I really enjoy.
 
Siwezi kuchoka kumsoma na kumsikiliza Kasie, siwezi...ngoja nifuatane nae NRB nione ataibuka na nini huko, she is neither boring nor bored always akijipa raha mwenyewe, I love that
 
Siwezi kuchoka kumsoma na kumsikiliza Kasie, siwezi...ngoja nifuatane nae NRB nione ataibuka na nini huko, she is neither boring nor bored always akijipa raha mwenyewe, I love that

Aawww jamaniiii....... unajua nini.....
Nimefurahi tuu, japo huwa natabasamu muda mwingi ila.... ujumbe wako umenijaza tabasamu usoni.
Let's cruise together in Naii hope you'll enjoy the waves.

Cheers Sesten.
 
Back
Top Bottom