donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,139 Dec 11, 2013 Thread starter #41 donlucchese said: Salaam wakuu, Niko ndani ya shabiby line hapa ubungo ready for departure kuelekea Dom kidogo. Nimepata na vinovo viwili vipya hapa Dedicated Man na The One From The Other, ni burudani tu wakuu. Baadae, niombeeni nisafiri salama! Click to expand... Wakuu sijajua huu mtaa unaitwaje kwa wenyeji wa Dom ila npo opposite na hapa Jacana Bar kuna nyumba flani za tofali za kuchoma wakuu ndio nimefikia!
donlucchese said: Salaam wakuu, Niko ndani ya shabiby line hapa ubungo ready for departure kuelekea Dom kidogo. Nimepata na vinovo viwili vipya hapa Dedicated Man na The One From The Other, ni burudani tu wakuu. Baadae, niombeeni nisafiri salama! Click to expand... Wakuu sijajua huu mtaa unaitwaje kwa wenyeji wa Dom ila npo opposite na hapa Jacana Bar kuna nyumba flani za tofali za kuchoma wakuu ndio nimefikia!
atug JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,836 Reaction score 3,679 Dec 11, 2013 #42 Huko ni maeneo ya area c
Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,863 Reaction score 14,346 Dec 11, 2013 #43 atug said: Huko ni maeneo ya area c Click to expand... atug mwenyeji dom etii? basi umhost mgeni, na usisahau kupeleka mnadani kula nyama Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
atug said: Huko ni maeneo ya area c Click to expand... atug mwenyeji dom etii? basi umhost mgeni, na usisahau kupeleka mnadani kula nyama
atug JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,836 Reaction score 3,679 Dec 11, 2013 #44 DEMBA said: atug mwenyeji dom etii? basi umhost mgeni, na usisahau kupeleka mnadani kula nyama Click to expand... Hahaaa DEMBA yaa m ni mwenyej Dom huu ni mwaka wangu wa tatu. Kwa bahat mbaya nipo nje ya Dom Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
DEMBA said: atug mwenyeji dom etii? basi umhost mgeni, na usisahau kupeleka mnadani kula nyama Click to expand... Hahaaa DEMBA yaa m ni mwenyej Dom huu ni mwaka wangu wa tatu. Kwa bahat mbaya nipo nje ya Dom
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,550 Dec 11, 2013 #45 donlucchese said: Wakuu sijajua huu mtaa unaitwaje kwa wenyeji wa Dom ila npo opposite na hapa Jacana Bar kuna nyumba flani za tofali za kuchoma wakuu ndio nimefikia! Click to expand... Umefanikiwa kupata mtoto wa kigogo japo wa kampani...!? ila kipindi hiki waheshimiwa watakuwa wamejimilikisha balaa..
donlucchese said: Wakuu sijajua huu mtaa unaitwaje kwa wenyeji wa Dom ila npo opposite na hapa Jacana Bar kuna nyumba flani za tofali za kuchoma wakuu ndio nimefikia! Click to expand... Umefanikiwa kupata mtoto wa kigogo japo wa kampani...!? ila kipindi hiki waheshimiwa watakuwa wamejimilikisha balaa..
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,139 Dec 11, 2013 Thread starter #46 atug said: Huko ni maeneo ya area c Click to expand... Ni kweli mkuu naskia wanapaita area C
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,139 Dec 11, 2013 Thread starter #47 Baba V said: Umefanikiwa kupata mtoto wa kigogo japo wa kampani...!? ila kipindi hiki waheshimiwa watakuwa wamejimilikisha balaa.. Click to expand... Hehehe, bado mkuu! Labda neema ikitokea!
Baba V said: Umefanikiwa kupata mtoto wa kigogo japo wa kampani...!? ila kipindi hiki waheshimiwa watakuwa wamejimilikisha balaa.. Click to expand... Hehehe, bado mkuu! Labda neema ikitokea!