- Hapana CCM hapa tuna kesi ya kujibu, Magufuli amekwenda huko kwa mgongo upi? Waziri wa Jamhuri, Mjumbe wa CCM, au Mtu binafsi, CCM ni lazima ithibitishe kwamba Magufuli amekwenda huko kwa nauli yake mwenyewe, hakulipiwa na Serikali wala CCM, na kwamba akiwa huko hakulipiwa anything na Serikali yetu wala ya Kenya, na CCM ni lazima iathibitishe kwamba ni kawaida kwa safari kama hizi kwa MAwaziri wetu kwa kuonyeshwa kuwa zimewahi kufanywa na mawaziri wengine pia!
- So baada ya majibu ya haya maswali kuna mengi ya nyongeza kutokana na majibu yatakayotolewa!!
Es!
Ni kweli katika hapa ufafanuzi unahitajika hali ikizingatiwa RAILA na MAGUFURI kama na urafiki ulitokana na uwaziri sio kingine, na pale walimtaja kama waziri kutoka Tz hawakumtaja kama Magufuli in personal kama walianza kumtaja kwa jina la Waziri ina maana alitumwa na Serikali.
jibu hoja!kwa hiyo magufuli alitumwa na ccm au serikali?Mwaka jana Naibu Waziri wa Maendeleo wa Ujerumeni alikuja Tanzania,alichofanya yule waziri mhuni akakutana na wahuni wenzake na kufanya nao kikao hotel moja marangu kilimanjaro baada ya hapo ndio akataka kuonana na Serikali Membe aka mwambia uishie huko huko Chadema! hoja hapa Chadema mwaka huu ndio wametambua protocol za kidiplomasia? Hapa kelele zote ni unafiki tu wa kujikweza,kama hoja ni Magufuli kugombanisha Tanzania na Serikali ya Kenya mbona wao walimleta Naibu Waziri wa Ujerumani Kinyemela,hawakujua kuwa wanaigombanisha Ujerumani na Tanzania? Chadema ulimbukeni na Uchanga wa kisiasa unawasumbua! Afrika hatu hitaji vyama vya Kikabila matatizo ndio kama haya!
hivyo ndivyo akili yako ilivyofikri mkuu.shtuka angalia mbele zaidi.Uvivu wa kufikiri, magufuli hakwenda kuiwakilisha CCM wala serikali, ameenda Kama mtu binafsi Huyu wenje Hana la kuongea tamko limekaa kimajungu majungu, yeye ndiye anatakiwa kuthibitisha iwapo magufuli alisema anaiwakilisha CCM au serikali. CHADEMA wa jipange kushughulika na issues waachane na individuals vinginevyo wanapoteza mwelekeo kwa sasa na kuchezeshwa Kama Joyce wowo sindimba ya CCM
Mwaka jana Naibu Waziri wa Maendeleo wa Ujerumeni alikuja Tanzania,alichofanya yule waziri mhuni akakutana na wahuni wenzake na kufanya nao kikao hotel moja marangu kilimanjaro baada ya hapo ndio akataka kuonana na Serikali Membe aka mwambia uishie huko huko Chadema! hoja hapa Chadema mwaka huu ndio wametambua protocol za kidiplomasia? Hapa kelele zote ni unafiki tu wa kujikweza,kama hoja ni Magufuli kugombanisha Tanzania na Serikali ya Kenya mbona wao walimleta Naibu Waziri wa Ujerumani Kinyemela,hawakujua kuwa wanaigombanisha Ujerumani na Tanzania? Chadema ulimbukeni na Uchanga wa kisiasa unawasumbua! Afrika hatu hitaji vyama vya Kikabila matatizo ndio kama haya!
Mie nafikiri Magufuli kafanya jambo la maana kwani kashaanza kupanua mipaka ya CCM.
Ukiacha ya kufungua Matawi nje ya nchi, sasa wanaanza kuingia hadi kwenye vyama vya Siasa nje ya Tanzania maana vya Tanzania wameshamaliza kwa kupanda watu wao na hilo wote tunalielewa.
HONGERA SANA NGOSHA Magufuli.
Chadema wanasumbuliwa na tatizo la kutokualikwa na ODM kwani hawajulikani,pia Chama hiki(chadema) nchi nyingi za Afrika wana kichukulia kama chama cha kabila hakina sura ya kitaifa ndio maana viongozi wa chadema hawajulikani ukiaacha kidogo Zitto anae fahamika baadhi ya nchi za ulaya,Chadema wao wanajuana na Dr Kiza Besigye mpinzani wa Uganda lakini kwa kenya wanaonekana ni ethnic centered part(kiji chama cha kikabila). Hata kama Magufuli kawakilisha CCM au kaenda mwenyewe Chadema inawasumbua nini?
kama CCM ilishindwa kutoa maelezo juu ya role ya nape kuamrisha watumishi wa umma itaweza kufafanua juu ya hili?
Kuna mambo mawili ya kufafanua hapa...
Moja ,je CCM inamuunga mkono Raila?
Pili,je serikali yetu inamuunga mkono Raila?
- Kiboko cha nani? Taifa tunawalipa kutusaidia CCM na this is one of their responsibility, unamsifia mtu kwa kufanya wajibu wake?
Es!
Mie nafikiri Magufuli kafanya jambo la maana kwani kashaanza kupanua mipaka ya CCM.
Ukiacha ya kufungua Matawi nje ya nchi, sasa wanaanza kuingia hadi kwenye vyama vya Siasa nje ya Tanzania maana vya Tanzania wameshamaliza kwa kupanda watu wao na hilo wote tunalielewa.
HONGERA SANA NGOSHA Magufuli.
kote hakuna tatizo!tunachohitaji ni uthibitisho tu ya kuwa ccm na serikali yake inamsupport odinga kama tulivyofanya kwa palestine.Hakuna tatizo katika hiyo namba moja kati ya hayo mawili unayosema yanahitaji ufafanuzi. Tatizo, tena si dogo, liko hapo kwenye namba mbili.