On bed kuna wanaume wa aina nne

mmh usiombe ukutane na mzungu mwenye sifa number moja UTAJUTA, yamenikuta mwenzenu

Alitumia dawa huyo, mfanyie surprise bila appointment uone atakavyochemsha!
 
Sasa mwanamke yuko kama kabati na nyuma ukimuona kama ironing board,sasa hapo mimi erection itatoka wapi?????????????????

wakati unamtongoza hukumuona kama ironing board? au unatafuta sababu ya kujitetea kushindwa kwako kuerect? lol
 
How about in coach maana suala la in bed umelifafunua
vizuri na hii ilihitaji uwe na mahusianao na hao watu wote
uliowazungumzia kwa mantiki hiyo we ni noma na umefunzu
 
mimi nina uwezo mkubwa sana, ni wa kundi lile la kwanza, tatizo langu sasa, nikisafiri..siku nne hazipiti itabidi nitafute kidumu manake niko mbali na waifu...kazi zangu za safari nje ya mkoa huishia kutafuna nje...kila nikijizuia nashindwa, sasa sijui tusemeje!
 

Njoo ufanyiwe maombiii.....
 

Kiukweli hili ni tatizo kubwa sana kwa watu wa kundi la kwanza, wengi wanashindwa kuvumilia wakiwa mbali na wake zao. Lakini ukweli unabaki pale pale kwamba hii yote inaongezea na ile hali ya kuendekeza sana tendo hili. Ngono ni hisia, bila hisia hakuna ngono hasa kwa mwanaume. Kwahiyo ndg yangu dawa yake ni kupunguza kuwazia tendo hili ukiwa mbali na mkeo, na kuamini kuwa ukifanya tendo hili na mtu mwingine ambaye siyo mkeo basi umetenda dhambi mbele za Mungu. Hizo ndo dawa za kupambana na tamaa za mwili.
 

Namba moja iko sawa, ila ubongo una nafasi kubwa kwenye ngono, namaanisha mtu kijaliwa hisia za juu.
Mfano mimi mke akivaa lingerie huwa hailali maana napenda kusex na mwanamke akiwa mavalia chupi alafu mimi naisogeza kwa pembeni then naingiza kipembeni pembeni.napenda sana.
 
Exactly mkuu, ila pia itakusaidia kujua tatizo lake na hivyo kumvumilia na kumsaidia zaidi ktk mchezo wenyewe. Otherwise, utaishia kumlaumu na hapo utakuwa ndo unamfanya asijiamini kabisa!!!

Lakini mkuu huo mchezo si utachochea watu kuwa 'waonjaji' na kuacha tu kwa kisingizio kwamba hamna nguvu sawa?
 
Lakini mkuu huo mchezo si utachochea watu kuwa 'waonjaji' na kuacha tu kwa kisingizio kwamba hamna nguvu sawa?

Suala si kujua kama nguvu sawa, suala ni kuweza kujua mapungufu ya mwenzio ili uweze kufanya maamuzi sahihi. Hili ni muhimu sana kwa mwanamke kujua uwezo wa mwandani wake
 
mito, ina maana kundi la nne hata hizi dawa zetu sa asili za kuongeza nguvu za kiume kama MZAKARU, ZOKA, FARU, MKUYATI, DUME, SHOKA, KAMANYOLA, KAMCHAPE na kadhalika, zote hazifui dafu kweli?

hata akitumia ile yako hapo hamuna kitu!!
 
Suala si kujua kama nguvu sawa, suala ni kuweza kujua mapungufu ya mwenzio ili uweze kufanya maamuzi sahihi. Hili ni muhimu sana kwa mwanamke kujua uwezo wa mwandani wake

Nadhani kufanya hivyo mkiwa ndani ya ndoa ni bora zaidi kwa sababu mnaanza kwa kupendana kwanza jinsi mlivyo bila kuangalia uwezo wa mapigo au vitu vingine. Na kwa kuwa unakuwa umempenda mwenzio ni rahisi kumwelewa, kumvumila na hata kutafuta njia za kumsaidia au kutafuta balance ili mwendeleze pendo lenu.
 
Natamani wife achangie huku nijue hali yangu maana .... hatak hata kuwe na house grl nyumbani.
 

umeangalia quantity tu, hujaangalia quality, aisee:thinking:
 

Unachosema ni kweli, lakini kuna mwingine anaweza kusema loh ningejua mapema nisingefunga ndoa na huyu, kumbe yuko hivi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…