Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,526 70,668 May 5, 2017 #3 Kumbe jukwaa linauzwa siku hizi mpaka watu wanamiliki?? Daah ngoja nijichange na mimi nikanunue jukwaa langu [HASHTAG]#StressZaVyetiFeki[/HASHTAG]
Kumbe jukwaa linauzwa siku hizi mpaka watu wanamiliki?? Daah ngoja nijichange na mimi nikanunue jukwaa langu [HASHTAG]#StressZaVyetiFeki[/HASHTAG]
Naisujaki Lekangai JF-Expert Member Aug 19, 2012 1,340 1,377 May 6, 2017 #4 Basata mnafungaga macho yenu sio?Mnayafungua tu kwenye chura ya snura!