DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 17,926
- 45,385
Nimapema sana kuhusu Tommy Japo mziki mzuri unapenya popote.
Tusisahau kuzingatia maelekezo anayotoa Waziri wa Afya ya kujilinda na ugonjwa mbaya wa Corona tusipuuzie Hilo watanzania.
bro wakumbuke hata viwete basi.Nmuonea huruma sana bwana mdogo Ibra
Konde alikurupuka kuja na Album angejipa mda kwanza akawa anaachia ngoma moja moja alafu anaweka nguvu kwenye Kuipromote, Naona kawekeza Promo kwenye Bed room leo anaachia RemixMkuu Robidinyo mbona kondeboy ha promote ngoma za collabo zake na morgan heritage na burnaboy kwenye afro east album?
Zile ngoma ni loss.
Huwezi ku collabo na wakali vile then hadi sasa hata moja haipo top 10 yoyote !!!
Afadhali kidogo "Pain" (x Yemi Alade) walau. Zile "Your Body" na "Malaika" ni wazi hazitakuwa na mvuto kwenye live shows ni loss. Ni wazi alikua na mchecheto kutoa album haraka.Konde alikurupuka kuja na Album angejipa mda kwanza akawa anaachia ngoma moja moja alafu anaweka nguvu kwenye Kuipromote, Naona kawekeza Promo kwenye Bed room leo anaachia Remix
Na alichokosea pia ni kuziachia bila Video na inakua ngumu namna ya kuzipromote
Producer wa dodo ni nan??
Its not over until its over...