Hivi hawa wanaolia wanauhusiano ganio uliofichika hadi waguswe kiasi hicho? Kweli ni mapenzi ya chama na Mbunge wao tu? Ipo haja ya kutafiti tujue ninini kiko ndani.
kazimia?????? my god ila inawezekana pia
alizimia kwa furaha .manake hilo
gamba lilimsababishia awashe
kibatali mpaka umri huo sasa
amepata raha akajua umeme
huooo lool kaz kwelekweli
na kama kazimia ajili ya huyu
gamba hahahaha
namsikitikia saaaaaaaaaaaaaaaaana
hao kina mama wanaficha sura kwa sbb wanajua wanachokifanya.
hao wote ni wa nzega na tunawafahamu walikodishiwa noah zikawapeleka igunga wakaalipwa chao wakalia na sasa wamesharudi.