luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,295
- 8,258
- Thread starter
- #121
Hawez kujaHahaaaa nilijua tu ngoja instabul aje uone povu
Hawez kujaHahaaaa nilijua tu ngoja instabul aje uone povu
Israel Pure kabisaanafaa kuwa mkwe wangu, Nina Kijana kamaliza Chuo hana mchumba.
tena Mchaga wa Marangu, hawa ni kama wa-israeli.
Yupo vizr Mr NgowiTena baba wa huyu bint prof Honest Ngowi namfahamu tumeshakaaga kiti kirefu na yeye SAUT.Hongera sana kaka na binti yetu
Wachaga kwa kuwekeza kwenye elimu hawajamboRubani wa kwanza mwanamke alikuwa Betty Olotu tulisoma naye std7 1975 Uhuru primary Arusha kwa sasa atakuwa ni mama mtu mzima naye alikuwa mchaga wa Marangu ila baba yake alikuwa na ukwasi maana alikuwa anakuja shule na gari
Mrs Ngowi kumbe Ni mhaya? Anafundsha wapiHuyu ni Mchagga wa Kibosho. Baba yake Honest alikuwa Mwalimu, Mama Yao alikuwa Mhaya Mwalimu.Duu watu wema Sana Waliokutwa na Hofu ya Mungu. Ni walokole Wakatoliki kuikumbuka hii Familia ya Mwalimu Ngowi ni watu Wema mno.
Ngowi Ni mpambanaji SanaNi binti anasoma pale Feza Girls, kaanza kusoma pale Mosswood Terminal one akiwa form four. Alivyofika form five aka anza ku accumulate masaa na sasa yuko form six keshakamilisha masaa yake kuanza kuruka mwenyewe. Ni determination ya mtoto na kama akipata support ya wazazi anakamilika. Prof Ngowi is a credible economist principal of Dar Mzumbe Campus, sitting in the board of TIC and TPSF. Nimepata bahati ya kukaa nae mara kazaa very humble and focused hivyo hushangai kuweza kumtengeneza mtoto anavyotaka kwa rehema za Mungu.
magufuli mitano tenaJuhudi za awamu ya tano
Viva CCM Viva magufuli
Mama yake Prof Honest Ngowi ndiya alikuwa Mhaya. Alifundisha Shule huko Kibosho kwao. Ni Marehemu Kwa sasa. Mrs wa Professor Simfahamu.Mrs Ngowi kumbe Ni mhaya? Anafundsha wapi
Oh sawasawaMama yake Prof Honest Ngowi ndiya alikuwa Mhaya. Alifundisha Shule huko Kibosho kwao. Ni Marehemu Kwa sasa. Mrs wa Professor Simfahamu.
Duuu kweli jf kuna wazee??? shikamoo babu!! mnaonaje kwa screen??? nilidhani ni watotot tu! labda mimi ndo mkubwa kuuumbe!! najidanganya!!! sema ukweli enzi zenu 1975 hamkujifunza computer uongo babu?Rubani wa kwanza mwanamke alikuwa Betty Olotu tulisoma naye std7 1975 Uhuru primary Arusha kwa sasa atakuwa ni mama mtu mzima naye alikuwa mchaga wa Marangu ila baba yake alikuwa na ukwasi maana alikuwa anakuja shule na gari
Sheria za maskini hizo! zina wahusu, sisi matajiri tuna angalia vipaji na pesa!! hata km akiwa na miaka 8 kipaji kipo!! anakamata nchi na inaenda vizuri tu!!! hizo sheria kandamizi ninawahusu maskini tu!! mtapingwa na kamwe hamtapata nafasi hiyo!!Huyo Omega kaajiriwa akiwa under 18 na ni kosa kisheria.
Uliona wapiiii? Uolisikia wapiiii? Heeee? Ulisikia wapiiii? In Bwege's voice!!Kuna chuo pale Airport kama unaenda terminal 1 nasikia ni cha mzungu mmoja, saa 1 ni USD 250 na at least mwanafunzi anatakiwa asome min. 750 Hrs Max 1500 Hrs ndipo aweze kurusha ndege (Airline Transport) na hapo ni kama haja fail module yyt kwenye hiyo course.
Look here!
Rate price per Hour-250
Required Hrs750 (Min.)
Excahnge rate 1USD = TZS 2315
250X2315=578,750
750×578,750= TZS 434,062,500
Mtoto wa mkulima atauza korosho kiasi gani akasome kwa milioni 434,062,500?
Asome PGM kwanza
Kwa hizo ada,halafu uchukue mkopo mkuu??...naona watafyeka mpaka kiinua mgongo mkuu....kwenye marejesho hao wanabodi Ya mikopo.....NIT mabibo wana course za Urubani.Na bodi ya mikopo inatoa mikopo ya kusomea urubani
Hongera sana binti jasiri, Omega Honest NGOWI,Wakuu salaam
Mapema Leo binti aitwae Omega Ngowi ambaye Ni Rubani mwanafunzi amefanikiwa kurusha ndege kutoka Dar-Tanga-Zanzibar-Dar akiwa peke yake.
Binti Omega mwenye umri wa miaka 18 ni mtoto wa mhadhiri wa chuo kikuu Cha mzumbe, Prof Prosper Honest Ngowi
Tumpe hongera binti huyu
Cc
fazili
instanbul
Come27
Sky Eclat
Manelezu
jaap
Frank Wanjiru
chuma cha mjerumani
Monchengladbach
NIYOMBARE
nizakale
kinusikwetu
mliberali
View attachment 1559810
Hongera sana binti jasiri, Omega Honest NGOWI,