luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,927
Naam,nafarijika kuona matokeo ya uwekezaji wetu (klm) ktk elimuWale wa Elimu bure hizi level watazisikia kwa majirani.
Hakuna namna mtu utaifurahia hii dunia pasipo kutoa jasho. Ukiwa mvivu kapuku huwez peleka mtoto wako mafunzo ya urubani akiwa na miaka 16
Huyu mtoto bila shaka anakula matunda ya jasho la wazazi wake.
[emoji106]kuna mada aliileta mdau ya ada kwenye kozi ya haya makitu.
anyway hongera babaomega.
HakikaNdio mjua maana ya demokrasia na ubepari.
Hii elimu ya urubani imewekezwa tz?Naam,nafarijika kuona matokeo ya uwekezaji wetu (klm) ktk elimu
IndividualHii elimu ya urubani imewekezwa tz?
ukisomea urubani mambo ya kuzunguka na bahasha kusaka ajira hayapo,ajira zinakufata zenyewe hadi mlangoni....hii ndo faida ya kusomea vitu vya "watu wachache"Wale wa Elimu bure hizi level watazisikia kwa majirani.
Hakuna namna mtu utaifurahia hii dunia pasipo kutoa jasho. Ukiwa mvivu kapuku huwez peleka mtoto wako mafunzo ya urubani akiwa na miaka 16
Huyu mtoto bila shaka anakula matunda ya jasho la wazazi wake.
Safi sana binti kwa ujasiri mkubwa kukaa angani peke yako tena juu ya bahari ni ujasiri mkubwa sana kwa binti mdogo kama wewe. Atakuwa rubani mdogo kabisa huyu Tanzania.Wakuu salaam
Mapema Leo binti aitwae Omega Ngowi ambaye Ni Rubani mwanafunz amefanikiwa kurusha ndege kutoka dar-tanga-zanzibar-dar akiwa peke yake
Binti Omega mwenye umri wa miaka 18 Ni mtoto wa mhadhiri wa chuo kikuu Cha mzumbe Prof Prosper Honest Ngowi
Tumpe hongera binti huyu
Cc
fazili
instanbul
Come27
Sky Eclat
Manelezu
jaap
Frank Wanjiru
chuma cha mjerumani
Monchengladbach
NIYOMBARE
nizakale
kinusikwetu
mliberali
View attachment 1559810
Kuna chuo pale Airport kama unaenda terminal 1 nasikia ni cha mzungu mmoja, saa 1 ni USD 250 na at least mwanafunzi anatakiwa asome min. 750 Hrs Max 1500 Hrs ndipo aweze kurusha ndege (Airline Transport) na hapo ni kama haja fail module yyt kwenye hiyo course.Hii elimu ya urubani imewekezwa tz?
TuelewesheNdio mjua maana ya demokrasia na ubepari.
Afrika kusini unatakiwa masaa 200 ya mafunzo, ambayo inachukua kama miezi 18, na gharama ni $ 50,000.Kuna chuo pale Airpor kama unaenda terminal 1 nasikia ni cha mzungu mmoja, saa 1 ni USD 250. na at least mwanafunzi anatakiwa asome 750 Hrs ndipo aweze kurusha ndege na hapo ni kama haja fail item yyt kwenye hiyo course.
Look here!
Rate price per Hour 250
Excahnge rate 1USD = USD 2315
250X 2315=578,750
750×578,750= 434,062,500
Mtoto wa mkulima atauza korosho.kiasi gani akasome kwa milioni 434,062,500?
Miaka 18!..kwa mfumo wa Elimu yetu huyo bado yupo darasani Tena O'level!....Kama kweli huo ndio umri wake Basi Kuna possibility kubwa Sana hakusomea Nchini...nakama itakua ndio hivyo Kama Taifa itatubidi tuuwangalie upya mfumo wetu wa Elimu Nchini!... Otherwise hongera zake!Wakuu salaam
Mapema Leo binti aitwae Omega Ngowi ambaye Ni Rubani mwanafunz amefanikiwa kurusha ndege kutoka dar-tanga-zanzibar-dar akiwa peke yake
Binti Omega mwenye umri wa miaka 18 Ni mtoto wa mhadhiri wa chuo kikuu Cha mzumbe Prof Prosper Honest Ngowi
Tumpe hongera binti huyu
Cc
fazili
instanbul
Come27
Sky Eclat
Manelezu
jaap
Frank Wanjiru
chuma cha mjerumani
Monchengladbach
NIYOMBARE
nizakale
kinusikwetu
mliberali
View attachment 1559810
Miaka 18!..kwa mfumo wa Elimu yetu huyo bado yupo darasani Tena O'level!....Kama kweli huo ndio umri wake Basi Kuna possibility kubwa Sana hakusomea Nchini...nakama itakua ndio hivyo Kama Taifa itatubidi tuuwangalie upya mfumo wetu wa Elimu Nchini!... Otherwise hongera zake!
Kuna chuo pale Airpor kama unaenda terminal 1 nasikia ni cha mzungu mmoja, saa 1 ni USD 250. na at least mwanafunzi anatakiwa asome 750 Hrs ndipo aweze kurusha ndege na hapo ni kama haja fail item yyt kwenye hiyo course.
Look here!
Rate price per Hour 250
Excahnge rate 1USD = USD 2315
250X 2315=578,750
750×578,750= 434,062,500
Mtoto wa mkulima atauza korosho.kiasi gani akasome kwa milioni 434,062,500?