Habari zenu waungwana nisiwachoshe yeyote mwenye soft copy ya Kitabu cha " Mabala the Farmer" naomba anipatie .
WhatsApp 0692101471
Asanteni sana
Naomba unitag mkuuSoon natuma kwenye ule Uzi wa shimba
Sorry nimepata uchambuzi wa kitabu ila sio kitabu chenyeweNaomba unitag mkuu