Allah ampe pumziko la amani. . . .Ampe kauli thabit,insha'Allah , ash shahad liwe neno lake. . ..
Jamani hivi kujiuliza tu. . .. . Sisi wananchi tunawaza haya viongozi wanasemaje??! Harambee za vyama ni wanachama, kadi zinalipiwa, na mengineyo. . .chama hakiwezi kusaidia kila mwanachama kweli au familia yake. . . . .Lakini mambo kama haya ya watu waliokuwa nguzo za idara ndani ya chama kuanza kufikiriwa na wanachama badala ya taasisi sii sawa kabisa, wataoelewa sawa ila ukweli utabaki kuwa hili si sawa!!!!!
Tumchangie huyu na wengine lakini ifikie wakati wanaojitoa sana lazima wao na familia zao zipate faraja wakati kama huu kutoka katika taasisi. . . . .