Korona.Rangi ya Kijani inaonyesha nini hapo kwenye Cartoon?
Atakua ni yule bonge mwenye label ya "INCOMPETENCE"
Aiseeee!Yalikuwa yanaomba Zitto auawe Sasa yanakufa yenyewe, Asante corona,limoja limekufa tayari
Uongozi ni pamoja na kukosolewa ofisi ni ya umma sio ya familia utaki kakune nazi au kalchunge ng'ombeGado anachora katuni za viongozi dunia nzima, kama hampo tayari kuchorwa kaeni pembeni hiyo ni ofisi ya umma sio ya mtu binafsi anaependa kusifiwa tu.View attachment 1426354View attachment 1426355View attachment 1426356