Ombi: Serikali Imshtaki Godfrey "GADO" Mwapembwa kwa kosa la kumkejeli Rais Magufuli

Omusolopogasi

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
4,662
2,000
Kenya kuna uhuru wa kujieleza. hiyo ndio tofauti.... Hata Uhuru Kenyatta anachorwa vilevile. Na hakuna mtu anasingiziwa kesi ya uhujumu uchumi. Usipeke hofu yako nje ya mipaka ua Tanzania.
Huyu mTanzania anayejulikana kama "GADO" amekuwa na mazoea ya kuwakejeli viongozi wetu wapendwa. Sasa hapa kamkejeli rais wetu anayependwa na wote (isipokuwa wachache tu ambao ni negligible na incosequential.)

Naomba serikali ya Magufuli imshataki in absentia kwa kuwa amejificha Kenya. Tukumbuke kuwa, wakati alimtusi rais Kikwete (picha ya pili), gazeti la the East African liliona moto. Sasa hivi, GADO hafanyi kazi na Nation Media, hakuna leverage kama ambayo Kikwete alikuwa nayo.

Suluhisho ni kumshataki na kuomba serikali ya Kenya imrejeshe Tanzania.

View attachment 1426346

Alipomkejeli JK
View attachment 1426347
 
paul sylvester

JF-Expert Member
Mar 18, 2020
3,513
2,000
Sijamuombea kifo Zitto
Asante Kwa vile kumbe unajikakamua Tu kuidhihaki mauti, kumbe Huna kinga? Basi kuwa na adabu, ukimkuta mjinga anachezea moto karibu na petrol wewe kimbia ili usije kuwa mjinga kama yeye, wewe na walimuombea Zitto kifo hakuna tofauti,

Kila nafsi itaonja mauti, lakini ole wake aitakaye mauti!!!
 
momaka

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
427
500
Kwani huyo kwenye mchoro ametajwa ni nani? A picture worth a thousand words!
 
field marshall1

JF-Expert Member
Sep 17, 2017
784
1,000
Huyu mTanzania anayejulikana kama "GADO" amekuwa na mazoea ya kuwakejeli viongozi wetu wapendwa. Sasa hapa kamkejeli rais wetu anayependwa na wote (isipokuwa wachache tu ambao ni negligible na incosequential.)

Naomba serikali ya Magufuli imshataki in absentia kwa kuwa amejificha Kenya. Tukumbuke kuwa, wakati alimtusi rais Kikwete (picha ya pili), gazeti la the East African liliona moto. Sasa hivi, GADO hafanyi kazi na Nation Media, hakuna leverage kama ambayo Kikwete alikuwa nayo.

Suluhisho ni kumshataki na kuomba serikali ya Kenya imrejeshe Tanzania.

View attachment 1426346

Alipomkejeli JK
View attachment 1426347
Tanzania ilishakuwa na marais wenye akili? Huyu wa sasa ndiyo hivyo tena.....KWANI HAJAKIMBIA? Tunamuomba aende Ikulu akafanye kazi tuliyomtuma akatufanyie sisi waajiri wake, siyo busara akajifiche CHATO. mrudisheni Ikulu kama hawezi basi ajiuzulu. Gado kazi nzuri sana unaifanya, endelea hivyo hivyo. Africa hatuna marais ila ma-playboys na wezi wa mali za umma.
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,741
2,000
Asante Kwa vile kumbe unajikakamua Tu kuidhihaki mauti, kumbe Huna kinga? Basi kuwa na adabu, ukimkuta mjinga anachezea moto karibu na petrol wewe kimbia ili usije kuwa mjinga kama yeye, wewe na walimuombea Zitto kifo hakuna tofauti,

Kila nafsi itaonja mauti, lakini ole wake aitakaye mauti!!!
Hayo umwambie chaurembo burembo
 
uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
5,682
2,000
Huyu mTanzania anayejulikana kama "GADO" amekuwa na mazoea ya kuwakejeli viongozi wetu wapendwa. Sasa hapa kamkejeli rais wetu anayependwa na wote (isipokuwa wachache tu ambao ni negligible na incosequential.)

Naomba serikali ya Magufuli imshataki in absentia kwa kuwa amejificha Kenya. Tukumbuke kuwa, wakati alimtusi rais Kikwete (picha ya pili), gazeti la the East African liliona moto. Sasa hivi, GADO hafanyi kazi na Nation Media, hakuna leverage kama ambayo Kikwete alikuwa nayo.

Suluhisho ni kumshataki na kuomba serikali ya Kenya imrejeshe Tanzania.

View attachment 1426346

Alipomkejeli JK
View attachment 1426347

Mi ningekuwa rahisi ningechorwa hivi ningecheka tu na kufurahi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom