Ombi: Serikali Imshtaki Godfrey "GADO" Mwapembwa kwa kosa la kumkejeli Rais Magufuli

MwendaOmo

JF-Expert Member
Dec 16, 2013
756
1,000
Huyu mTanzania anayejulikana kama "GADO" amekuwa na mazoea ya kuwakejeli viongozi wetu wapendwa. Sasa hapa kamkejeli rais wetu anayependwa na wote (isipokuwa wachache tu ambao ni negligible na incosequential.)

Naomba serikali ya Magufuli imshataki in absentia kwa kuwa amejificha Kenya. Tukumbuke kuwa, wakati alimtusi rais Kikwete (picha ya pili), gazeti la the East African liliona moto. Sasa hivi, GADO hafanyi kazi na Nation Media, hakuna leverage kama ambayo Kikwete alikuwa nayo.

Suluhisho ni kumshataki na kuomba serikali ya Kenya imrejeshe Tanzania.

********.jpg


Alipomkejeli JK
JK.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom