Ombi: Serikali Imshtaki Godfrey "GADO" Mwapembwa kwa kosa la kumkejeli Rais Magufuli

Huyu mTanzania anayejulikana kama "GADO" amekuwa na mazoea ya kuwakejeli viongozi wetu wapendwa. Sasa hapa kamkejeli rais wetu anayependwa na wote (isipokuwa wachache tu ambao ni negligible na incosequential.)

Naomba serikali ya Magufuli imshataki in absentia kwa kuwa amejificha Kenya. Tukumbuke kuwa, wakati alimtusi rais Kikwete (picha ya pili), gazeti la the East African liliona moto. Sasa hivi, GADO hafanyi kazi na Nation Media, hakuna leverage kama ambayo Kikwete alikuwa nayo.

Suluhisho ni kumshataki na kuomba serikali ya Kenya imrejeshe Tanzania.

View attachment 1426346

Alipomkejeli JK
View attachment 1426347
Kazi ya sanaa ni kusaidia jamii kuelewa kupitia sanaa hiyo. Usimuone GADO kama ni mhalifu bali jadili tabia na hulka ya kiongozi wako. Je hayo anayoongelewa ni kweli au siyo kweli.
 
Pumbavu

Huyu mTanzania anayejulikana kama "GADO" amekuwa na mazoea ya kuwakejeli viongozi wetu wapendwa. Sasa hapa kamkejeli rais wetu anayependwa na wote (isipokuwa wachache tu ambao ni negligible na incosequential.)

Naomba serikali ya Magufuli imshataki in absentia kwa kuwa amejificha Kenya. Tukumbuke kuwa, wakati alimtusi rais Kikwete (picha ya pili), gazeti la the East African liliona moto. Sasa hivi, GADO hafanyi kazi na Nation Media, hakuna leverage kama ambayo Kikwete alikuwa nayo.

Suluhisho ni kumshataki na kuomba serikali ya Kenya imrejeshe Tanzania.

View attachment 1426346

Alipomkejeli JK
View attachment 1426347
 
Huyu mTanzania anayejulikana kama "GADO" amekuwa na mazoea ya kuwakejeli viongozi wetu wapendwa. Sasa hapa kamkejeli rais wetu anayependwa na wote (isipokuwa wachache tu ambao ni negligible na incosequential.)

Naomba serikali ya Magufuli imshataki in absentia kwa kuwa amejificha Kenya. Tukumbuke kuwa, wakati alimtusi rais Kikwete (picha ya pili), gazeti la the East African liliona moto. Sasa hivi, GADO hafanyi kazi na Nation Media, hakuna leverage kama ambayo Kikwete alikuwa nayo.

Suluhisho ni kumshataki na kuomba serikali ya Kenya imrejeshe Tanzania.

View attachment 1426346

Alipomkejeli JK
View attachment 1426347
Wewe ndio unatakiwa kuchukuliwa hatua maana humtakii mema rais wa nchi
 
Ni wapi kamtaja hapo kwenye hivyo vibonzo? Angalia usije kushitakiwa wewe ndugu yangu
Huyu mTanzania anayejulikana kama "GADO" amekuwa na mazoea ya kuwakejeli viongozi wetu wapendwa. Sasa hapa kamkejeli rais wetu anayependwa na wote (isipokuwa wachache tu ambao ni negligible na incosequential.)

Naomba serikali ya Magufuli imshataki in absentia kwa kuwa amejificha Kenya. Tukumbuke kuwa, wakati alimtusi rais Kikwete (picha ya pili), gazeti la the East African liliona moto. Sasa hivi, GADO hafanyi kazi na Nation Media, hakuna leverage kama ambayo Kikwete alikuwa nayo.

Suluhisho ni kumshataki na kuomba serikali ya Kenya imrejeshe Tanzania.

View attachment 1426346

Alipomkejeli JK
View attachment 1426347

Jr
 
Mkuu naomba msaada wa ufafanuzi inawezekana ukawa unauelewa mpana.

Hivi ukweli ukoje na kejeli ikoje?? Maana wakati niko mdogo nilikuwa nalia nilipokuwa naambiwa nina makalio makubwa kama mwanamke! Lakini siku hizi nimekuwa mkubwa nimegundua haukuwa utani wala kejeli kweli nina makalio makubwa!
 
Back
Top Bottom