Hivi karibuni wizara ya Elimu ilisitisha mfumo wa GPA na kuleta division. Kwa vyovyote vile wale wenye GPA kwa kuwa ni wachache watakuwa ni wenye kuyumba kwa muda mrefu maana watamezwa na mfumo wa division.
Ombi hapa ni kubwa ili kutengeneza uwiano na consistency, serikali iitishe vyeti vyote vya GPA na ivipeleke kwenye division kwa kuwa matokeo wanayo. Ni gharama kwa sasa, lakini itakuwa na manufaa ya muda mrefu kwa waathirika.