Ombi: Rais Samia tunaomba Vunjo iwe Wilaya

Mheshimiwa Rais ya JMT pole na majukumu ya ujenzi wa taifa letu pendwa.Kazi unayofanya wenye akili timamu wanaiona na tunakuhakikishia kuwa mwaka 2025 utakuwa wa neema kubwa sana kwa chama na serikali unayoingoza.
Mimi ni mkazi wa jimbo la Vunjo .Hili jimbo mheshimiwa Rais ni eneo pekee hapa nchini lenye miji midogo mitatu(Himo,Marangu mtoni na Njia Panda) na wapiga kura zaidi ya laki tano lakini sio wilaya inayojitegemea .
Ikumbukwe ya kwamba njia kuu ya kupanda mlima Kilimanjaro iko kwenye hili jimbo.
Mheshimiwa Rais ,hili jimbo la Vunjo lina shule za sekondari zaidi ya mbili kwa kila kata na taasisi za elimu za kutosha ,mfano chuo cha ualimu marangu na Mandaka .
Kutokana na uhalisia ya kwamba jimbo la Vunjo ni moja ya majimbo yanayostahili kuwa na wilaya inayojitegemea kama ikukupendeza Mheshimwa Rais tunaomba zawadi pekee kwa wanavunjo ni kutupataia mamlaka kamili kama Wilaya.
Iwe Taifa linalojitegemea
 
Mkuu Mzee Mbowe amefanya nini kama urithi kwa wanae,tunaomjua ninkuwa yeye alirithi hela za kutosha toka kwa mzazi wake na chama pia amerithi toka kwa baba mkwe .Hapa vipi mzee
Wewe ulizuiwa na nani kurithi toka kwa baba ako? baba ako alijikita kwenye uzinzi badala ya kutafuta pesa mpeleke mahakamani, ni haki yake kurithi mali za baba ake na akaziendeleza laumu uzembe wa baba ako, wewe umezuiwa na nani kurithi CCM kutoka kwa Samia?
 
Mheshimiwa Rais ya JMT pole na majukumu ya ujenzi wa taifa letu pendwa.Kazi unayofanya wenye akili timamu wanaiona na tunakuhakikishia kuwa mwaka 2025 utakuwa wa neema kubwa sana kwa chama na serikali unayoingoza.
Mimi ni mkazi wa jimbo la Vunjo .Hili jimbo mheshimiwa Rais ni eneo pekee hapa nchini lenye miji midogo mitatu(Himo,Marangu mtoni na Njia Panda) na wapiga kura zaidi ya laki tano lakini sio wilaya inayojitegemea .
Ikumbukwe ya kwamba njia kuu ya kupanda mlima Kilimanjaro iko kwenye hili jimbo.
Mheshimiwa Rais ,hili jimbo la Vunjo lina shule za sekondari zaidi ya mbili kwa kila kata na taasisi za elimu za kutosha ,mfano chuo cha ualimu marangu na Mandaka .
Kutokana na uhalisia ya kwamba jimbo la Vunjo ni moja ya majimbo yanayostahili kuwa na wilaya inayojitegemea kama ikukupendeza Mheshimwa Rais tunaomba zawadi pekee kwa wanavunjo ni kutupataia mamlaka kamili kama Wilaya.
Huu upumbavu wa kuanzisha wilaya mpya unatakiwa ukomeshwe. Hizo gharama za kununua V8 za wakuu wa wilaya, wakurugenzi na maafisa wengine wa wilaya mpya si bora zikanunulie vifaa tiba na madawa? Mtu kama wewe ni laana kwenye taifa hili. Wewe hapo ni maskini ila unaomba kitu cha kuzidi kukudidimiza zaidi. Hili ombi lako linaweza kufanyiwa kazi fasta kwasababu litawatengenezea ulaji viongozi walafi pamoja na kuwa ni faida kwa wanasiasa kupata jimbo jipya la uchaguzi.
 
Koifo nukundi ifo koryu tupu kuendelee na chi Tanzania yosenyi? Nuonyi chandu mnduchu ailuiwia? Muwese aende mleu lumkundifo.
Meku liwewatakie luwe level ingine kapisa aisee, lakini shauri ya utondo lukolemo iseka na wenye uruka ,hivi niuchi shilingi nsinga mmcchame alienengo na lowassa ? Watanzania woose ni wakeiwa ma hawa wapinzani waore tofauti mfo .So wachaka hasa wanawaru waimumisho kumfa lunifanya kuwa so ni jeuri.
 
La
Huu upumbavu wa kuanzisha wilaya mpya unatakiwa ukomeshwe. Hizo gharama za kununua V8 za wakuu wa wilaya, wakurugenzi na maafisa wengine wa wilaya mpya si bora zikanunulie vifaa tiba na madawa? Mtu kama wewe ni laana kwenye taifa hili. Wewe hapo ni maskini ila unaomba kitu cha kuzidi kukudidimiza zaidi. Hili ombi lako linaweza kufanyiwa kazi fasta kwasababu litawatengenezea ulaji viongozi walafi pamoja na kuwa ni faida kwa wanasiasa kupata jimbo jipya la uchaguzi.
Laanq kwenye hili taifa ni upinzani wa nchi hii kupngozwa na vilaza .Tunaomba mtuletee veyti vya mzee mbowe na lema ndio watanzania wataelewa ni jinsi gani wanayumbishwa na wapuuzi waliokimbia umande
 
Mheshimiwa Rais ya JMT pole na majukumu ya ujenzi wa taifa letu pendwa.Kazi unayofanya wenye akili timamu wanaiona na tunakuhakikishia kuwa mwaka 2025 utakuwa wa neema kubwa sana kwa chama na serikali unayoingoza.
Mimi ni mkazi wa jimbo la Vunjo .Hili jimbo mheshimiwa Rais ni eneo pekee hapa nchini lenye miji midogo mitatu(Himo,Marangu mtoni na Njia Panda) na wapiga kura zaidi ya laki tano lakini sio wilaya inayojitegemea .
Ikumbukwe ya kwamba njia kuu ya kupanda mlima Kilimanjaro iko kwenye hili jimbo.
Mheshimiwa Rais ,hili jimbo la Vunjo lina shule za sekondari zaidi ya mbili kwa kila kata na taasisi za elimu za kutosha ,mfano chuo cha ualimu marangu na Mandaka .
Kutokana na uhalisia ya kwamba jimbo la Vunjo ni moja ya majimbo yanayostahili kuwa na wilaya inayojitegemea kama ikukupendeza Mheshimwa Rais tunaomba zawadi pekee kwa wanavunjo ni kutupataia mamlaka kamili kama Wilaya.
Hebu acha siasa jimbo la vunjo hao wapiga kura laki tano umewatoa wapi?jimbo la vunjo liko wilaya ya moshi ambayo ina halmashauri mbili ,hàlmashauri ya manispaa ya moshi na halmashauri ya wilaya ya moshi na jumla ya watu wa halmashauri hizi mbili ukiwaunganisha hawazidi laki sita ,na halmshauri ya wilayà ya moshi yenye jimbo la vunjo haizidi watu laki 4 na pia inawezekana pia hawafiki idadi hiyo,pia umeongelea jimbo la vunjo kua na miji midogo mitatu ya njia panda,himo na marangu mtoni,himo na njia panda ule ni mji mmoja na marangu mtoni hapana mji pale kile ni kijiji kwahiyo mji mdogo ni mmoja tu Himo
 
Kwanini wakati watu wanawaza kupunguza matumizi wewe unataka kuyaongeza.?
 
Wewe ulizuiwa na nani kurithi toka kwa baba ako? baba ako alijikita kwenye uzinzi badala ya kutafuta pesa mpeleke mahakamani, ni haki yake kurithi mali za baba ake na akaziendeleza laumu uzembe wa baba ako, wewe umezuiwa na nani kurithi CCM kutoka kwa Samia?
Laiti ungejua hata huyu mpuuzi wenu mzee mbowe alikuja ofisini kwangu 2015 kuomba mchango.Hili zee lilivyo punguani lilikuwa linajua kwa kuwa mimi ni mchagga angepata mchango wangu?🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️,maajubu alitaka hadi magari ya kusomba wafuasi wake kwa promise kuwa yeye atakuwa waziri mkuu.Kilichampata toka kwangu atakuwa alinifunza kitu kuwa si kila mchanga ni Nyumbu
 
Ukabila una kusaidia nini? hatujadili uchaga, una mali gani wewe mpuuzi labda sehemu zako za siri ndiyo mali zako
 
Matusi hayakusaidi ila huyu mzee alikuja ofisini kwangu na ushaidi ninao,na salama yake ya kwanza ilkuwa hivi;mbonyi Mangi 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Upi huo ,ameridhi hela za baba na amerithi chama toka kwa mkwe,huyu mbowe juzi ndio kajenga nyumbani kwake kule machame mzee bado alikuwa anishi kwenye nyumba ya familia hata baada ya kuvuka miaka sitini .Nionyeshe kitu kimoja tu ambacho mzee mbowe amekiqnzisha na kikafanikiwa.
Wewe kweli mpumbavu
Mfatilie mbowe tokea ameacha kazi BOT, hela za kufadhili chama kabla hajawa mwenyekiti alikuwa amerithi? ile club billcana alirithi?

Kwani hizo mali alizo rithi angetakiwa azikatae?
Watu wote wanaoishi nyumbani ni kwasababu hawana uwezo?

Nyumba iliyotakwa kupigwa mnada juzi kisa mtoto wake kudaiwa na wafanyakazi, mahakama ikashindwa kisa mmiliki ni mbowe ni banda la kuku lile?

Wewe sio mjinga tuu ni mpumbavu pia.
 
Matusi hayakusaidi ila huyu mzee alikuja ofisini kwangu na ushaidi ninao,na salama yake ya kwanza ilkuwa hivi;mbonyi Mangi 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Kwanini utaje uchaga badala ya kumjadili Mbowe kama Mbowe? kwani wachaga wote ni wanasiasa na wapo CHADEMA?
 
Wewe kweli mpumbavu
Mfatilie mbowe tokea ameacha kazi BOT, hela za kufadhili chama kabla hajawa mwenyekiti alikuwa amerithi? ile club billcana alirithi?

Kwani hizo mali alizo rithi angetakiwa azikatae?
Watu wote wanaoishi nyumbani ni kwasababu hawana uwezo?

Nyumba iliyotakwa kupigwa mnada juzi kisa mtoto wake kudaiwa na wafanyakazi, mahakama ikashindwa kisa mmiliki ni mbowe ni banda la kuku lile?

Wewe sio mjinga tuu ni mpumbavu pia.
Kufadhili chama chanzo kilikuwepo ?urithi toka kwa baba,pale BOT si alipelekwa na Edwin Mtei ?
 
Pole sana ,Mkoa wa morogora sasa hivi ni wa tano kwa uchumi mkubwa hapa nchini,vipi mzee wa machame ana mikakati gani ya kunyanyua mkoa wake ?
Kwani kwa sasa mbowe ni mkuu wa mkoa au mbunge moshi/kilimanjaro?
 
La

Laanq kwenye hili taifa ni upinzani wa nchi hii kupngozwa na vilaza .Tunaomba mtuletee veyti vya mzee mbowe na lema ndio watanzania wataelewa ni jinsi gani wanayumbishwa na wapuuzi waliokimbia umande
Mimi ni mwanaCCM ila wewe unachoongea ni ushuzi mtupu. Mbowe na Lema walishawahi kuongoza hata wilaya? Upinzani unaleta vipi laana ikiwa haihusiki na maamuzi yoyote ya nchi hii?
 
Mheshimiwa Rais ya JMT pole na majukumu ya ujenzi wa taifa letu pendwa. Kazi unayofanya wenye akili timamu wanaiona na tunakuhakikishia kuwa mwaka 2025 utakuwa wa neema kubwa sana kwa chama na serikali unayoingoza.

Mimi ni mkazi wa jimbo la Vunjo. Hili jimbo mheshimiwa Rais ni eneo pekee hapa nchini lenye miji midogo mitatu(Himo, Marangu Mtoni na Njia Panda) na wapiga kura zaidi ya laki tano lakini sio wilaya inayojitegemea .

Ikumbukwe ya kwamba njia kuu ya kupanda mlima Kilimanjaro iko kwenye hili jimbo.

Mheshimiwa Rais,hili jimbo la Vunjo lina shule za sekondari zaidi ya mbili kwa kila kata na taasisi za elimu za kutosha, mfano chuo cha Ualimu Marangu na Mandaka .

Kutokana na uhalisia ya kwamba jimbo la Vunjo ni moja ya majimbo yanayostahili kuwa na wilaya inayojitegemea kama ikukupendeza Mheshimwa Rais tunaomba zawadi pekee kwa wanavunjo ni kutupataia mamlaka kamili kama Wilaya.
Kwa akili zako za kuvukia Barabara unazana ikiwa Wilaya ndio maisha ya watu yatabadilika? Kwamba kwa akili zenu sehemu ikigawanywa kuwa wilaya au mkoa basi maisha automaticaly yanachange yenyewe kana Time zone. Haya ni mawazo ya Isadi kubwa ya wajinga katika hili Taifa
 
Mheshimiwa Rais ya JMT pole na majukumu ya ujenzi wa taifa letu pendwa. Kazi unayofanya wenye akili timamu wanaiona na tunakuhakikishia kuwa mwaka 2025 utakuwa wa neema kubwa sana kwa chama na serikali unayoingoza.

Mimi ni mkazi wa jimbo la Vunjo. Hili jimbo mheshimiwa Rais ni eneo pekee hapa nchini lenye miji midogo mitatu(Himo, Marangu Mtoni na Njia Panda) na wapiga kura zaidi ya laki tano lakini sio wilaya inayojitegemea .

Ikumbukwe ya kwamba njia kuu ya kupanda mlima Kilimanjaro iko kwenye hili jimbo.

Mheshimiwa Rais,hili jimbo la Vunjo lina shule za sekondari zaidi ya mbili kwa kila kata na taasisi za elimu za kutosha, mfano chuo cha Ualimu Marangu na Mandaka .

Kutokana na uhalisia ya kwamba jimbo la Vunjo ni moja ya majimbo yanayostahili kuwa na wilaya inayojitegemea kama ikukupendeza Mheshimwa Rais tunaomba zawadi pekee kwa wanavunjo ni kutupataia mamlaka kamili kama Wilaya.
Ninavyopenda kuwa mahali panapoitwa Moshi hata Vunjo ikiwa wilaya baadaye mimi nikiwa rais nitakuja kurudisha wilaya ya Moshi kama ilivyo sasa! Natoka Kilema.
 
Mimi ni mwanaCCM ila wewe unachoongea ni ushuzi mtupu. Mbowe na Lema walishawahi kuongoza hata wilaya? Upinzani unaleta vipi laana ikiwa haihusiki na maamuzi yoyote ya nchi hii?
Tulitegemea tuwe na chama mmbadala ambacho kingeweza hata kukabidhiwa nchi ,sasa upinzani unaongozwa na Lema kweli ,hivi mnatuonaje sisi watanzania lakini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom