- Thread starter
- #41
Nyumba bana ,mmesahau kuwa lissu mnachangishana ili anuniwe V8?Huu upumbavu wa kuanzisha wilaya mpya unatakiwa ukomeshwe. Hizo gharama za kununua V8 za wakuu wa wilaya, wakurugenzi na maafisa wengine wa wilaya mpya si bora zikanunulie vifaa tiba na madawa? Mtu kama wewe ni laana kwenye taifa hili. Wewe hapo ni maskini ila unaomba kitu cha kuzidi kukudidimiza zaidi. Hili ombi lako linaweza kufanyiwa kazi fasta kwasababu litawatengenezea ulaji viongozi walafi pamoja na kuwa ni faida kwa wanasiasa kupata jimbo jipya la uchaguzi.