Ombi: Naomba Pitia Hapa Utajifunza kitu na wewe!

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,655
Naitwa A am 21, Kwa Miaka Mingi sana marafiki zangu Ndugu Zangu na watu wengine wengi wamewahi kuniambia kwa Nyakati Tofauti Kwamba Mimi Ni Mtu Mwenye uwezo Mkubwa wa Ushawishi (HIGH CONVICING POWER), Kiufupi mimi sikuwahi kutilia maanani Hata Kidogo na niliacha Maisha yasonge vivo hivo!
Ikatokea wakati nikitongoza Mwanamke Lazima akubali kwa muda Mfupi na ikitokea tumekosana nikiongea nao wananisamehe kirahisi saana! lakini nikaja kuona baadae ikatokea hali fulani kama hawataki kuwa nami au kunisamehee basi ile nafasi ya kunisikiliza Hawanipi kabisa yaani kama kuonana au kujib text!, Hilo Nalo Pia sikuwahi kutilia Maanani!
Basi Leo Nikiwa nafanya Field Mkoa Flani Meneja wangu aliniita akaniambia Dogo una High Convicing Power! Yaani Kubwa saana! na mtu Mshamba Mshamba hawezi kushtukia Hilo! Akaniambia Kijana wangu Nenda ukatumie Huo uwezo wako Vizuri (Positiely) Hakika utakuja Ufanikiwe sana!
Kwa Kiabu flani na Kiuoga Nikauliza Ee Bwana Mkubwa Nitumie Positively Kivipi? Akasema mimi sintokuambia Hilo Ila nenda kautumie vizuri!
Niliwaza sana Bila Kupata Majibu Basi nimeamua niwashirikishe Nanyi Marafiki na Ndugu Zangu wa Hili Jukwaa ili muweze kunishauri How can i use it Positively?

ni mimi A TheMason
 
Tumia kwenye mambo ya mafanikio mkuu.

Sio kutongoza hiyo ni kutenda zambi
 
tapatalk_1499609435940.jpeg

Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
 
Nadhani Manager wako alikuona unaleta siasa nyingi kwenye kazi ndio maana akaona una convincing power kubwa,mimi nadhan unafaa sana kwenye shughuli za propaganda za kisiasa.kajaribu utafanikiwa.

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 
Anhaa Huendaa Maana ndoto yangu ilikuwa kusomea maswala ya arts sema nkaja kusoma engineering
 
Tumia vizuri mdomo na kalamu yako. Wengi wenye high convincing power huwa na shida moja, waropokaji saaaana.

So be careful ukipata sehemu ya kazi utambue hilo.

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile App
 
Bado unanafasi,rudi kwenye kipaji chako,(Sanaa)

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 
Tumia vizuri mdomo na kalamu yako. Wengi wenye high convincing power huwa na shida moja, waropokaji saaaana.

So be careful ukipata sehemu ya kazi utambue hilo.

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile App
Kweli Kabisa Very Fact nikicompare na mimi!
 
Jiweke huru, halafu itumie iyo talent kujikutanisha na watu watakaokusaidia kufanikisha ndoto zako,.. Ukiwa mzuri kweny networking na potential ppl itakusaidia kufikia success

Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
 
Convincing power maana yake ni nguvu ya ushawishi, kutumia positively ni ushawishi vijana wenzako wafanye KAZI kwa bidii waache madawa ya kulevya na kujiingiza katikati mambo ya ushirikina
 
Pamoja na kua unasomea engineering, kazi za sales na marketing zingekufaa zaidi.

Unaweza kuwa salesman mzuri au kazi za marketing.
 
Jiweke huru, halafu itumie iyo talent kujikutanisha na watu watakaokusaidia kufanikisha ndoto zako,.. Ukiwa mzuri kweny networking na potential ppl itakusaidia kufikia success

Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
BIGstallon Much thanks Brother Ushauri moja Potential saana!
 
Convincing power maana yake ni nguvu ya ushawishi, kutumia positively ni ushawishi vijana wenzako wafanye KAZI kwa bidii waache madawa ya kulevya na kujiingiza katikati mambo ya ushirikina

Big up kakaa Mkubwaa una Fikraa pevu kwa Taifa la Kesho!
 
Back
Top Bottom