Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,305
- 8,654
Naitwa A am 21, Kwa Miaka Mingi sana marafiki zangu Ndugu Zangu na watu wengine wengi wamewahi kuniambia kwa Nyakati Tofauti Kwamba Mimi Ni Mtu Mwenye uwezo Mkubwa wa Ushawishi (HIGH CONVICING POWER), Kiufupi mimi sikuwahi kutilia maanani Hata Kidogo na niliacha Maisha yasonge vivo hivo!
Ikatokea wakati nikitongoza Mwanamke Lazima akubali kwa muda Mfupi na ikitokea tumekosana nikiongea nao wananisamehe kirahisi saana! lakini nikaja kuona baadae ikatokea hali fulani kama hawataki kuwa nami au kunisamehee basi ile nafasi ya kunisikiliza Hawanipi kabisa yaani kama kuonana au kujib text!, Hilo Nalo Pia sikuwahi kutilia Maanani!
Basi Leo Nikiwa nafanya Field Mkoa Flani Meneja wangu aliniita akaniambia Dogo una High Convicing Power! Yaani Kubwa saana! na mtu Mshamba Mshamba hawezi kushtukia Hilo! Akaniambia Kijana wangu Nenda ukatumie Huo uwezo wako Vizuri (Positiely) Hakika utakuja Ufanikiwe sana!
Kwa Kiabu flani na Kiuoga Nikauliza Ee Bwana Mkubwa Nitumie Positively Kivipi? Akasema mimi sintokuambia Hilo Ila nenda kautumie vizuri!
Niliwaza sana Bila Kupata Majibu Basi nimeamua niwashirikishe Nanyi Marafiki na Ndugu Zangu wa Hili Jukwaa ili muweze kunishauri How can i use it Positively?
ni mimi A TheMason