Ombi muhimu sana kwenu wana jf

kagarara

Senior Member
Joined
Nov 23, 2010
Messages
119
Points
0

kagarara

Senior Member
Joined Nov 23, 2010
119 0
Tafadhali sana tena sana, naomba mnisaidie nafasi za ajira zilizotangazwa kwenye the guardian la agosti 16, 2011 na mashariti yake. Nisaidieni plz. Mtanisamehe nimeiweka humu kwan watu wengi wanatembelea humu. Naomba sana mnisaidie mm niko kijijini na siwezi kulipata.
 

Forum statistics

Threads 1,356,355
Members 518,895
Posts 33,130,994
Top