Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,137
Wakuu wasalaam,
Kutokana na wingi wa utapeli uliojitokeza mitandaoni wa watu wanao omba misaada ya kifedha na hivyo wengi kuwa na wasiwasi wa kutapeliwa natoa ombi kwa wale wanaotaka kuomba misaada kutoka kwa WanaJamiiForums ni vyema wapite kwanza kwa JamiiForums mwenyewe ili ahakiki kama kweli muombaji anahitaji la msaada au ni tapeli tu.
JamiiForums ndio wawasiliane na sisi au muombaji aandike ombi lake na moderator's watoe neno kwenye hilo ombi. Hii itaondoa ushaka na ukakasi pindi watu wajapo humu kuomba misaada, maana hata huku mitaani unapotaka kuomba msaada ni lazima uwe na barua ya Serikali.
Ni maoni tu.
CC JamiiForums & Moderator