OMBI: Mh. Rais Magufuli toa basi hata Salam za Mwaka Mpya.

Nyakati zinabadilikaga.....Hatujazoea kumwona Mkuu wa Kaya akikaa silence hivi. Huyu jamaa atakuwa alimuharibia siku asee tungemwona na mama yetu wakisali Kanisa fulani. Na akitoa salam za sikukuu .
Naona inapita kimyaaaaa
Hii si sawa hata kidogo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mnachanganya mkemia jamani. Hivi kama yeye, watoto, ndugu na michepuko wanasoma hizi comments wanajisikiaje? Hebu msifieni basi kama afanyavyo paroko mkuu pale karibu kabisa na bandari angalau apate usingizi leo.
 
Tunakuomba Rais walau utoe hata salam za mwaka mpya.
Toa salam za matumaini Baba...eeee...!!

Wewe pekee ndio mfariji wa wanyonge. Itasikitisha sana tuamke kesho bila neno lako la kututia moyo WATANZANIA...tunaendaje 2018 na tutarajie nini.!?

Tungependa kusikia toka kwako ni nini unajivunia umefanya mwaka huu na ni nini umetupangia kufanya mwakani.

Kwenda kulala usiku huu kwa Salamu za Mh. Mbowe za maumivu na masikitiko ni kumaliza mwaka kinyonge.

Basi nafikiri utafanya hivyo.

AHSANTE.
Kwani mimi ndiyo niRiomba mwaka erfu mbiri na kumi na nane ufike iri niwahutubie?
 
Eeeh mungu baba wa mbinguni, muumba wa mbingu na ardhi na vitu vyote hapa duniani na ulimwenguni naomba umfunge huyu mtu mdomo asiongee lolote tupate kuvuka na kuingia salama mwaka mpya 2018.
 
h
Idara ya mawasiliano Ikulu itatoa yeye frustrations zake zimezidi mno leo hii hata kwenda kanisani leo hii ilibidi wamsukumize.
ahaaha nimejikuta nalipuka kicheko !@hahahahahahhahaaaaaaaaa
 
Eeeh mungu baba wa mbinguni, muumba wa mbingu na ardhi na vitu vyote hapa duniani na ulimwenguni naomba umfunge huyu mtu mdomo asiongee lolote tupate kuvuka na kuingia salama mwaka mpya 2018.

ahahhahaa my ribs !
 
Eeeh mungu baba wa mbinguni, muumba wa mbingu na ardhi na vitu vyote hapa duniani na ulimwenguni naomba umfunge huyu mtu mdomo asiongee lolote tupate kuvuka na kuingia salama mwaka mpya 2018.
Hahhhaahaa...

Dah.. Kweli watu mna 'frastreshenz'..
 
Rais Wangu anaakili sana,, anajua nn ufanye ,na kwamuda gani ,nakwa njia gani !!!.

Anawapenda wananchi kwa upendo wakweli kabisa na wakila siku !!
 
Back
Top Bottom