Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
Ndugu zangu wanajf,naomba niwasilishe hili ombi kwenu.Naombeni hili neno 'i love u' lisitumike humu kwenye hili jukwaa kama siku 3 tu. Wengine linaturemind mambo ambayo hayatakiwi kuremindiwa.
Ahsanteni,
I love you Kabakabana... :love: hahahaha
I love you Kabakabana!
itabidi nijifunze kichina nipost humu,maana watu hawaelewi kiswahili
Nimekuelewa Kabakabana but I love U!
Nakotogagwa mw'anike zunyaga shi - Nakupenda binti kubali basi.
I love you girl, come this way...
i do not love you
I love U, kuliko my salary, ukinikubali nitakupa hata mke wangu!!!
I me and myself luvs Kabakabana.
Sasa nsipokwambia I Love u itakuaje?