hili ni Ombi kwa yeyote anaeweza kufadhiri Video ya Nyimbo hii mpya.
Nyimbo siyo ya mapenzi ni Motivation Song,inafaa kusikilizwa kwa lika lote,siyo ya kupoa ni Nyimbo flani hivi inayoelezea maisha ya kila siku.
Nimejaribu kupandisha Audio yake imeshindakana hiyo hapo ni kama Audio imeingizwa na kuwekwa you tube japo haina ile Quality yake halisi ya Audio.
Ukitaka kuisikia Vizuri Audio yake natuma kwa Email .
Nitumie Email PM nakutumia Audio yake .
Pia kama kuna mengi zaidi tunaweza ongea PM .
Ps:
Mods nimekosea jukwaa naomba mniwekee Jukwaa husika .