Ombi La Msamaha Kwa Wote:

Ombi La Msamaha Kwa Wote:

busy bees

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
2,249
Reaction score
1,348
6e4dc34e8a6f1ce35c207a943cb14fbb.jpg
 
Wasalaam;
Nachukua fursa hii kumtaka radhi yeyote niliye mkwaza kwa namna moja ama nyingine .... iwe kwa post zangu, comments zangu ama kwa namna nyingine iwayo yote ....

Mie ni mwanadamu na udhaifu kaumbiwa mwana adamu yeyote .... ni tamanio langu niishi katika amani ya moyo kuanzia sasa either nikiwa member JF ama nikiwa nje ya JF pia ....

Yeyote yule nilomkwaza yuko huru kabisa kuongea lolote ili kama pana machungu yatoke I'm ready to accept & receive whatever comes from your mind ....

Mwisho huu wa mwaka ndani ya JF na nje ya JF ukawe wenye MAFANIKIO TELE .....
NB: Ujumbe wangu katika post yangu ya mwisho wapatikana hapo katika picha juu.

HAVE ABUNDANCE OF GOD'S BLESSINGS ....
 
If you're offended forgive and try to forget ..... though it really hurts and sometimes very hard to do it ..
 

Attachments

  • Ms Halima 20161206_184649.jpeg
    Ms Halima 20161206_184649.jpeg
    20.8 KB · Views: 45
If you're offended forgive and try to forget ..... though it really hurts and sometimes very hard to do it ..
Sometimes sio kusamehe kwakuwa utakumbuka unachofanya ni kumuua kihisia adui yako! Hiyo itakusaidia sanna
 
" .... unachofanya ni kumuua kihisia adui yàko .." mkuu hebu jaribu kudadavua zaidi hapo
 
Back
Top Bottom