Ombi la kupata namba za simu bodi ya mkopo zinazopatikana.

Aug 1, 2011
5
0
Tafadhali kama kuna mtu anayefahamu namba za simu za bodi ya mkopo zinazopatikana maana natumia zlizopo kwenye internet hazipatikani na muda wa kujaza form za kuappeal unaisha .
 
Hata ucjsumbue kupoteza muda wako kwa kuappeal mkuu,huwezi fanikiwa..tumeona mifano kwa watu wetu wa karibu,pamoja na kuambatanisha nyaraka zote lakini majibu yalikua ''appeal rejected"
 
hao majamaa kwa sasa hawamwelewi mtu kabisaaaaaaaaaaa bora ufanye mambo yako mpaka mwakani mkuu
 
Back
Top Bottom