Ha ha aaa bro mpe connection aende akapige picha bro...Acha ufala wewe.
Nishike mkono Mkuu kama una namna yeyote ya kufanya nionane nae,mana kuna watu wengine wanatakiwa kujua tunawakubali namna gani ili kuwapa moyo kwa mambo makubwa waliyolifanyia taifa hiliUkishamuona je?au upige naye picha tu
Any way alikuwepugi mzee mmja smbdy mtawa
Ilikumuona ilikuwa lazima upitie kwake
Ova
Msoga.Mzee unateseka ukiwa wapi?
Acha Lugha chafu MkuuAcha ufala wewe.
AiseNishike mkono Mkuu kama una namna yeyote ya kufanya nionane nae,mana kuna watu wengine wanatakiwa kujua tunawakubali namna gani ili kuwapa moyo kwa mambo makubwa waliyolifanyia taifa hili
Kwa mawazo yako unaona mtoa mada kaandika jambo linalowezekana?Acha Lugha chafu Mkuu