Ombi La kuonana na Rais Mstaafu Kikwete

Chakwale

JF-Expert Member
May 17, 2015
1,068
1,541
Wakuu kichwa cha habari hapo juu chahusika.Mm ni Kijana Mzalendo wa kiTanzania mwenye umri wa miaka 35 sasa ninae vutiwa na Rais wetu Mstaafu wa awamu ya NNE Jakaya Mrisho Kikwete.
Nina Mapenzi makubwa na Rais huyu tangu nipate akili ya kujua siasa za Nchi hii mnamo mwaka 2002 na tangu nianze kupiga kura kwa Mara ya kwanza mwaka 2005.
Dhumuni LA kuonana nae ni kutaka kumueleza ni namna gani namkubali na kumuelewa,yeye ni "Rolu modo" wangu japo sina matumaini ya kuja kuwa kiongozi ktk Nchi yangu.
Moja ya Ndoto zangu ni kuonana na Kiongozi huyu ana kwa ana ikiwezekana na kupata japo picha.
Mm sio MTU wa Connection or mwenye hadhi ninaeweza kuja kukutana na kiongozi huyu hata kwa bahati mbaya,najua hapa wanapita watu mbalimbali naomba mwenye uwezo wa kunisaidia hili anisaidie.
Wasalaam.
 
Ukishamuona je?au upige naye picha tu

Any way alikuwepugi mzee mmja smbdy mtawa

Ilikumuona ilikuwa lazima upitie kwake

Ova
Nishike mkono Mkuu kama una namna yeyote ya kufanya nionane nae,mana kuna watu wengine wanatakiwa kujua tunawakubali namna gani ili kuwapa moyo kwa mambo makubwa waliyolifanyia taifa hili
 
Mkuu ushauri wangu Tu, hebu wale vijana tunawaita chawa, hawa watakuunganisha na rizi moko, ukimpata rizimoko, umempata Mzee WA msoga.simple mahesabu......
 
Nishike mkono Mkuu kama una namna yeyote ya kufanya nionane nae,mana kuna watu wengine wanatakiwa kujua tunawakubali namna gani ili kuwapa moyo kwa mambo makubwa waliyolifanyia taifa hili
Aise

Ova
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom