Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,751
- Thread starter
-
- #201
Aiseee,ikawa je mkuuSi kweli mkuu kwamba hao ni dada wa kazi, mimi nilishuhudia mmoja mama mtu mzima, Sinza (ni miaka 10 iliyopita). Namfungulia geti broo atoke kumbe kuna gari inataka ipite so inabidi wasubiliane, nikamwambia kuna mtu anapita na gari, akaniambia mwambie apite, nikampa ishara apite sijui hakunielewa, nikamfata kumwambia, akafungua kioo, looh! anamuwahisha mtoto apande gari la shule, kavaa kanga moja, ile design wanapitisha shingoni kanga halafu fundo linafungiwa nyuma ya shingo, huko chini kanga imekuwa fupi amefanya kuisokomeza hapo katikati, yaani kafanya kufunika njia ya uzazi tu, unaweza imagine huko Kalolo baki wazi kukoje, halafu ni mzuri balaa.
Okey nitawaambia hasa huyu wajirani havai anatoka ovyo tuWadada nawaomba Sana mkiwa mnaenda dukan asubuhi kununua vitafunwa au kupeleka watoto shule muwe mnavaa Sidiria jamani.
hebu kaa na babu wa watu umchunechune kwanzaEspy ana kuwa wapi?
Muambie mapema kwasababu anaweza kumnyapia jamaa yako hapoOkey nitawaambia hasa huyu wajirani havai anatoka ovyo tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni makubwa mkuu,hayaelezeki ila nilijibanza sehemu hali ikawa shwari ndio nikatembea tena kurudi ndani[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23] yanawachomaga shemUkweli gani bana anamatatizo yule
Kwema shem wkend wap?
Aisee[emoji23][emoji23] yanawachomaga shem
Weekend sehemu fulani hivi.. na mrusi wangu
Mkuu, sikuwaza kufanya chochote zaidi ya kumshangaa, na hata hivyo nilikuwa bado hayo mambo ya wanawake sijayatilia maanani sana.Aiseee,ikawa je mkuu
Kwasababu wanadai ukishaona maeneo yao muhimu huwa hawana tena confidence za kuchomoa kama ukiapply
Wew ni ke mkuu?? Ndio najua leoHahaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwamba mkuu umechoka kuona malapa yetu Sio....
Me n ke mkuu n vema umejua sasa....Wew ni ke mkuu?? Ndio najua leo
VizuriSawa tutavaa
HahahaNa sket pia wavae, sio khanga upepo ukipuliza hali zetu zinaharibika
Wadada nawaomba Sana mkiwa mnaenda dukan asubuhi kununua vitafunwa au kupeleka watoto shule muwe mnavaa Sidiria jamani.