Ombi kwa wabunge wateule wa chadema

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
1. Hakikisha mnafungua matawi na kuhamasisha ujenzi wa ofisi katika majimbo yenu. Angalau kila kata iwe na chumba cha ofisi.

2. Fanyeni kazi kwa nguvu ili watu waliowachagua waone tofauti ya wazi kati yenu na wabunge wa ccm.

3. Tembeleeni majimboni mara kwa mara.

4. Omba msaada wa hali na mali kutoka kwa watu mbalimbali.
 
Hakikisha mnafungua matawi na kuhamasisha ujenzi wa ofisi katika majimbo yenu. Angalau kila kata iwe na chumba cha ofisi.

2. Fanyeni kazi kwa nguvu ili watu waliowachagua waone tofauti ya wazi kati yenu na wabunge wa ccm.

3. Tembeleeni majimboni mara kwa mara.

4. Omba msaada wa hali na mali kutoka kwa watu mbalimbali.

Jengeni hoja za maana na zinazoleta tija kwa waliowachagua, msikurupukie issue
zisizokuwa na uthibitisho.............
 
Back
Top Bottom