Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 738
1. Hakikisha mnafungua matawi na kuhamasisha ujenzi wa ofisi katika majimbo yenu. Angalau kila kata iwe na chumba cha ofisi.
2. Fanyeni kazi kwa nguvu ili watu waliowachagua waone tofauti ya wazi kati yenu na wabunge wa ccm.
3. Tembeleeni majimboni mara kwa mara.
4. Omba msaada wa hali na mali kutoka kwa watu mbalimbali.
2. Fanyeni kazi kwa nguvu ili watu waliowachagua waone tofauti ya wazi kati yenu na wabunge wa ccm.
3. Tembeleeni majimboni mara kwa mara.
4. Omba msaada wa hali na mali kutoka kwa watu mbalimbali.