Ranks
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 2,583
- 1,098
Watu wako kwenye kitu serious kwa maslah ya UMMA kwa ujumla zuzu anaota "UkAWA".Hakuna mtu makini anayeweza kukubali huu upuuzi unaoendelea
Watu wako kwenye kitu serious kwa maslah ya UMMA kwa ujumla zuzu anaota "UkAWA".Hakuna mtu makini anayeweza kukubali huu upuuzi unaoendelea
Waangalie laana isije ikawaangukiaWabunge wa CCM mkumbuke haya ni maisha tu...
Maisha uwa yanabadilika...
Hata kama mumechukua pesa za Rushwa ili mpitishe mswada wa habari mbovu kuwai kutokea Tanzania...
Ukataeni huu Muswada kwa nguvu zote ikiwezekana mrudishe hiyo pesa kama wakiwadai...
Yaani siamini kama hakuna hata wabunge 50 wazalendo wanaoweza kusema hapana...
Haya ni maisha tu huu mswada utawaathiri watanzania wote bila kujali ni wa chama gani...
Nawakumbusha hakuna anayeijua kesho yake. Lowassa alikataa katiba ya Warioba Leo anapigwa mabomu...
Sumaye alishiriki maamuzi mengi yenye utata serikalini Leo anapigwa mabomu...
Sijui milioni 10 kitu gani na unaweza zila siku ngapi?
Malipo uwa ni hapa duniani kuna siku mtakumbuka maneno yangu.
All over suddenGreat thinkers asked this similar question when Major opposition party, Chadema under the chairmanship and basket mouth of Mbowe welcomed and cherish the accused father of grand corrupter...
The famous Richmond dady was born again under the name of Mabadiliko.
Mbowe used to deny that,the so called fisadi could never be the member of Chadema...OVER MY DEAD BODY ...
All over sudden it is the same Chairman who justified the Shift of story about fisadi....
It was the same Chairman who turn to be a ' stone face' against his general secretary Dr Slaa .
It is now the same chairman who is asking a childish question about 10 million Takrima.
HOW CREDIBLE IS MBOWE AND HIS FOLLOWERS??....GOD ALONE KNOWS.

Huyu sio uchwara tena ni dicteta kamiliKwa hiyo juma Ponda Mali kazibitisha kuwa mtoto wa nyoka ni nyoka, kwamba hakuna kitu kimya kitachotoka ccm, yaani ccm ni ileile.
So bad sana hawa vijana sijui ccm uwa inawapa nini mpaka wawe mazuzu kiasi hikiWatu wako kwenye kitu serious kwa maslah ya UMMA kwa ujumla zuzu anaota "UkAWA".
View attachment 428957
Your comment presage that the bill is to fix the opposition?Great thinkers asked this similar question when Major opposition party, Chadema under the chairmanship and basket mouth of Mbowe welcomed and cherish the accused father of grand corrupter...
The famous Richmond dady was born again under the name of Mabadiliko.
Mbowe used to deny that,the so called fisadi could never be the member of Chadema...OVER MY DEAD BODY ...
All over sudden it is the same Chairman who justified the Shift of story about fisadi....
It was the same Chairman who turn to be a ' stone face' against his general secretary Dr Slaa .
It is now the same chairman who is asking a childish question about 10 million Takrima.
HOW CREDIBLE IS MBOWE AND HIS FOLLOWERS??....GOD ALONE KNOWS.
Chenji ya Rada
Yaani unampa mtu milion kumi ili aende dhambi lakini wazee wanasubiri milioni 50 kila kijijiMeshafirika nyinyi, hamna pesa.
Mtaanzaje kutoa milion 50 kwa kila kijiji?