technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,680
- 58,686
Wabunge wa CCM mkumbuke haya ni maisha tu...
Maisha uwa yanabadilika...
Hata kama mumechukua pesa za Rushwa ili mpitishe mswada wa habari mbovu kuwai kutokea Tanzania...
Ukataeni huu Muswada kwa nguvu zote ikiwezekana mrudishe hiyo pesa kama wakiwadai...
Yaani siamini kama hakuna hata wabunge 50 wazalendo wanaoweza kusema hapana...
Haya ni maisha tu huu mswada utawaathiri watanzania wote bila kujali ni wa chama gani...
Nawakumbusha hakuna anayeijua kesho yake. Lowassa alikataa katiba ya Warioba Leo anapigwa mabomu...
Sumaye alishiriki maamuzi mengi yenye utata serikalini Leo anapigwa mabomu...
Sijui milioni 10 kitu gani na unaweza zila siku ngapi?
Malipo uwa ni hapa duniani kuna siku mtakumbuka maneno yangu.