Utaongea mpk uchoke hizo taasisi bado wamepewa wazee kazi bure!
Hakuna jipya wao badala wafanye wepesi ndo kwanza wanakandamiza watu wao! Ifike hatua wajitambue tumeshawachoka wao kwenda na upya huwa hawawezi nchi nyengine hizi tabu tupu!
Kama shirika la posta na TTCL linavyokufa kwa kuwa na viongozi wazeeUtaongea mpk uchoke hizo taasisi bado wamepewa wazee kazi bure!
Hakuna jipya wao badala wafanye wepesi ndo kwanza wanakandamiza watu wao! Ifike hatua wajitambue tumeshawachoka wao kwenda na upya huwa hawawezi nchi nyengine hizi tabu tupu!
aliyeshiba hamjui mwenye njaa, wako maofisini kwenye viyoyozi wakikunja 4m plus uko,TCRA na BOT hawalioni kabisa hili kama ni tatizo
go ahead inatoka BoTsio kwamba Ni mitandao ya simu( Mobile money)
mwisho wa siku lazima upate approval kutoka BOT na ndo hapo kikwazo kiliposio kwamba Ni mitandao ya simu( Mobile money) maana hata Kenya ni Partnerahip ya Thunes na Mpesa ndo Safaricom wanatumia hapa Tz nadhan inahitajika Some sort of a company au voda and any other Mobile Money provider wawe creative
wataelewa tuTwende na hizi tags huku tukiwatag wahusika everywhere. Haya let's go!
#WeNeedPayPal #TunatakaPayPal #TufunguliePayPal
Habari ya mjini ni #WeNeedPayPal #TunatakaPayPal #TufunguliePayPalwataelewa tuView attachment 1720505
Wewe ni mssenge!Watag wahusika otherwise unatupigia kelele
Kuna kipindi PayPal waliulizwa kwanini hawaruhusu transactions hapa Tz wakajibu kuwa policy zilizowekwa na BoT zinawazuia kufanya hvo. Ila hawakuspecify ni policy gani. Jua tu BoT ndio wamewabaniasio kwamba Ni mitandao ya simu( Mobile money) maana hata Kenya ni Partnerahip ya Thunes na Mpesa ndo Safaricom wanatumia hapa Tz nadhan inahitajika Some sort of a company au voda and any other Mobile Money provider wawe creative