OMBI KWA MH RAISI

samson myombo

Member
Joined
Nov 9, 2015
Posts
24
Reaction score
14
MAGUFULI TOA AJIRA, vijana wanaumia,,,uliahidi miezi miwili,BADO TU??? sasa hivi kla mtu kilio chake kipo kwenye rizki,kwani kuzipata imekuwa mtiti!!! Kweli kazi nzuri unafanya lakini suala la kutoa ajira limekuwa ni FUMBO KWETU,,,tena unasemaga "MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU" sasa tuambie unatoa ajira ama hautoi????
 
Reactions: irk
Ajira kuanzia mwaka 2019 mwishoni
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…