Ungekuwa unasoma threads usingeirusha hii!!Kuna ombaomba mmoja kijana ambaye hupenda kuombea katika taa za salender, peugeot house na mktaba anakera kwa staili yake ya kufunua kidonda kikubwa kwenye paja lake la kushoto akidai anataka msaada wa matibabu.
Kidonda hicho ni kikubwa sana kilicho fresh na bila kujua watu wengi hawapaendi kuona damu.
Kwa kumbu kumbu zangu huyu bwana ana kidonda hicho miaka mitano anacho na sijui anakifanya nini kisipone.
Kidonda kageuza mtaji.
Vyombo vya dola hamlioni hilo?
Kwanini hujapeleka malalamiko yako polisi?
Mi naona kama unaitwisha jf jukumu ambalo si lake.
Ungekuwa unasoma threads usingeirusha hii!!
Ni kweli huyo jamaa hata mie nimemuona kwa muda mrefu. Kwa kweli kidonda chake kinatisha. Kuna siku nilimwambia aende akatibiwe badala ya kuendelea kukifanya kidonda kuwa dili ya kupatia pesa.
Mpelekeni Hospital
Huyo kumpeleka hositali hataki............... kwenda hospitali kwake ni sawa sawa na wewe uombe kazi halafu huna vyeti......... unategemea hiyo kazi utaipata...???Mpelekeni Hospital
hataki kwenda hospitali