Alazwe anapostahili!Alazwe pema peponi...
Umeongea ukweli mkuu,big up!we ulimpenda matonya ulimsaidiaje.acha kukalili misemo ww
R.I.P matonya
alikuwa ni member humu JF?.
mkubwa ubarikiwe, lakini Mungu aliyesema kila nafsi itaoonja mauti, siyo sawa na MUNGU aliyesema watu kutokuonja mauti. They are two GODS, in which one stand for ever
1. Jina la Matonya limetokea wapi?
2. Makamba aache unafiki. Baada ya kumtimua Matonya Dsm alimuwezeshaje alipokuwa Moro?
hahahahaPumzika kwa amani pacha wa JK!
Acha utumwa wa kiakili kwani Matonya sio mtu, wewe unataka msiba gani ndio uone sawa...kama ombaomba mbona hata CCM, Chadema wote ombaomba tu.