Omba yasikukute, yasikie tu kwa mwenzio

Omba yasikukute, yasikie tu kwa mwenzio

Aldonae

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
598
Reaction score
396
Huu msemo nimeanza kuusikia miaka mingi sanaaa, na sikuelewa uzito wake.

Unang'ata kidole, huku unajiuliza maswali zaidi ya 1000 kwa wakati mmoja. Kwanini zaidi ya 500, imekuwaje, kivipi, why me, naota au ni kweli? Ni ndoto hiii, noo sio ndoto ni kweli. Imetokea kweli? Machozi yanakutoka, unalia peke yako mwanaume, mi nadra kudondosha chozi.

Omba yasikukute, yasikie tu kwa mwenzako.
 
Ukijifanya mbishi, wabongo lazima wakuumbue. Niamini mimi.
 
kawaida tu ww sio wa kwanza na sio wa mwisho muhimu kuomba uzima
 
Pole sana. Japo hujatueleza yaliyokupata. Jipe moyo mkuu. Hii ndio dunia tunayoishi, imejaa mambo mengi sana, kuna kupanda na kushuka, hiyo pia ni sehemu ya maisha.
 
Cha muhimu uhai unao mambo mengine yatajifix mbele kwa mbele dunia ina mengi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom