Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 2,304
- 5,654
Mlipa kifurushi umemlia buyu jmn nakimeisha naona leo nakula jeuri yangu haki ya kweli jeuri kwishaaa
😄😄😄😄Uzi tayari
Usiimalize yote kesho unaweza ukakosa na pakula😂leo nakula jeuri yangu
sindano bado!.Uzi tayari
Ushamaliz kila.kitu mkuuUna nyege tu ww
😂😂😂😂Yani kifurushi cha mtandao wa simu tu ndio unalipiwa ? Na mwamba anaichapa kabisa na wewe unaona umewini, ebu achana nae na uje kwangu ,waacheni watoto wadogo waje kwangu nanyi msiwazuie
Ebu njoo PM chap tuone tunafanyaje...😑Mlipa kifurushi umemlia buyu jmn nakimeisha naona leo nakula jeuri yangu haki ya kweli jeuri kwishaaa
Naamsindano bado!.
Na ni kombakomba!Kweli wanawake wa kibongo ni omba omba 😂
Si ndo wa kifurushi wengine na mambo yaoHakuna hata mmoja anaekumendea, mpe hiyo PAPA WEMBA akulipie king'amuzi.
Mdada wa MUJINI inakuwaje una sponsor mmoja?
Tv subscriptionKifurushi gani bro?