Omba omba huyu anastahili viboko!!

Omba omba huyu anastahili viboko!!

Kwanini dola isichukue hatua kama huyu jamaa ni wa muda mrefu?lakini nadhani muda si mfefu ataacha kwani sasa hivi watu tumesitisha kutoa pesa baada ya yule dada na aliyeota manyoya mkononi.
 
Yule ndiye aliyemuotesha mtu manyoya.hivi kuna watu wanaendeleea kutoa bado? Wana ham na kuzimu nini ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom