Omary Londo ni nani?

Omary Londo ni nani?

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,741
Reaction score
25,681
Rejea na kichwa cha habri hapo ju.
Leo katika pitapita zangu kule mitaa ya Kariakoo s nikajikuta natokea mtaa wa Livingstone baada ya kuangaza macho huku na huko nikakuta kibao kimeandikwa OMARY LONDO na LIVINGSTONE.
Nikawa najiuliza huyu Omary Londo ni nani?
 
Kariakoo mtaa wa waswahili huwezi kujua kila mtu
Utaambiwa alikuwa tarishi

Mimi wananikera ijumaa tu wakifunga barabara ila utafanyaje viongozi wetu wanasema tuvumiliane
Asante kwa kuchangia.
Pale Kariakoo napendaga kupita mtaa wa SWAHILI na SOMALI uwa nafajirika sana kuona watoto wa kisomali aisee🥰🥰🥰
 
Kuna mtaa unaitwa Ditopile huyo alikuwa mswahili wa kwanza kumiliki Radio kwenye huo mtaa..Watu walikuwa wakijaa kwake kusikiliza taarifa ya habari.Mtaa ukapewa jina lake hapi ilala Dar es salaam kwa heshima yake.
Mtaa wa DITOPILE???
 
Rejea na kichwa cha habri hapo ju.
Leo katika pitapita zangu kule mitaa ya Kariakoo s nikajikuta natokea mtaa wa Livingstone baada ya kuangaza macho huku na huko nikakuta kibao kimeandikwa OMARY LONDO na LIVINGSTONE.
Nikawa najiuliza huyu Omary Londo ni nani?
Cc Mohamed Said
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom