Nalendwa believe it she doesn't have such powers. Although she will shake him, just like what happened to Clinton and Monica LewiskNawaza, if she's holding that power at the moment. And if she can really take down the most powerful man in the World.
But still she can't put him down. I trust trump is stronger than this shit.She has treasure trove of tapes, videos, text messages. About 200 tapes.
She's probably saving the Best for the Last.
Fine it's stereotyping, bit this woman anawakilisha lile kundi dogo sana la.wanawake blacks ambao wanasema kwa tabia mbaya.Mimi sidhani kama tabia ya mtu ina uhusiano wa moja kwa moja na rangi yake ya ngozi.
Kuna wanawake weusi wengi tu wasio na tabia kama ya Omarosa na wapo wanawake wengi tu wa rangi zingine [Wazungu, Walatino, nk] wenye tabia tabia kama za Omarosa.
Watu wenye tabia za ajabu ajabu wapo kwenye kila jamii.
Hata Tanzania, wapo. India, wapo.
Bado sijashawishika kabisa kuwa kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya rangi ya ngozi ya mtu na tabia.
Omarosa naye yuko hivyo alivyo kama yeye binafsi. Hawakilishi tabia za wanawake weusi wa Kimarekani.
Hivi kweli unaweza kusema Omarosa na Condoleeza Rice wana tabia sawa?
Au Keisha Lance-Bottoms na Omarosa wana tabia sawa?
Omarosa ni Omarosa tu.
Mbona Trump naye ana mambo ya ajabu ajabu.
Duterte naye hivyo hivyo.
Magu naye hayuko mbali sana...
Hao watatu ni watu wa rangi tofauti kabisa.
Let’s not stereotype.
Fine it's stereotyping, bit this woman anawakilisha lile kundi dogo sana la.wanawake blacks ambao wanasema kwa tabia mbaya.
Labda niseme hivi wanawake weusi husemwa kwa tabia mbovu, lkn hii husababishwa na kundi dogo sana la wanawake weusi wenye tabia mbaya.Lakini mbona wanawake wenye tabia mbaya wapo wa rangi zote?
Kama umewahi kuishi kwenye jamii iliyo racially diverse basi jaribu kuwa observant na utaliona hilo.
Kuhusisha rangi ya ngozi na tabia ya mtu ilhali wapo na wengine wa rangi zingine wenye tabia mbaya, si sawa.
Trump ni mwanaume wa Kizungu lakini mbona tabia zake hazihusishwi na rangi yake ya ngozi?
Omarosa anajiwakilisha mwenyewe tu na matabia yake ya ajabu ajabu.
Wapo wanawake wengi tu weusi wasio na tabia kama za Omarosa.
But still she can't put him down. I trust trump is stronger than this shit.
Fine it's stereotyping, bit this woman anawakilisha lile kundi dogo sana la.wanawake blacks ambao wanasema kwa tabia mbaya.
Precisely my thought.
Ni kweli kuna mgawanyiko.
There's the Omarosas and the like, ambao wanaweza kufanya hivi vitu. And if they decide to screw someone they go the whole nine yards.
And then there's Condoleezzas, Oprahs, Michelles, Channing Dungeys, the Isabel dos Santos and many more who you can at least trust.
Labda niseme hivi wanawake weusi husemwa kwa tabia mbovu, lkn hii husababishwa na kundi dogo sana la wanawake weusi wenye tabia mbaya.
Wapo wanawake weupe wenye tabia mbovu but tabia zao hazivumi vibaya na hupelekea pia kutetewa ukilinganisha ni wanawake weusi.
'Miafrika ndivyo tulivyo'Hiyo ni stereotyping iliyo rooted katika ignorance.
Hakuna race au gender yenye monopoly na tabia flani flani tu.
Tabia haina jinsia. Tabia haina rangi.
Tabia huwa ni ya mtu.
Na ndo maana Martin Luther King Jr alikuwa na ndoto ya matumaini kwamba siku moja wanae watahukumiwa kwa tabia zao na si rangi za ngozi zao.
Omarosa na tabia yake anajiwakilisha mwenyewe. Hawakilishi wanawake weusi wenye tabia mbaya.
But, is content of one’s character determined by skin color?
Ulichosema hapo pia kipo kwa wanawake wa rangi zingine, uongo?
Tabia ya Omarosa ni yake yeye mwenyewe na si ya wanawake weusi kama vile tabia ya ‘Cash me outside’ Danielle Bregoli ilivyo yake yeye na si ya wasichana wote wa kizungu.
Tabia haina rangi. Bali tabia huwa ya mtu.
Wafuasi wengi wa trump wanaomjua kuwa ni mtu kigeugeu, hasa wale amabo ameshirikiana nao kwa muda mrefu, wamekuwa wakimrekodi kwa vile anaweza kusema jambo moja halafu baadaye akapinga; tabia hiyowalijifunza kwake kwa vile yeye mwenyewe alikuwa akirekodi wengine. Hawa wanaomjua Trump kama mgombea uraisi ndio ambao huwa hawakujua kuwa kuna kurekodi. Michael Cohen alimrekodi sana, Omarosa naye amerekodi sana, na vkuna mtu mwingine kutoka kwenye Apprentice ambaye alifanya kwenye Golf courses za Trump naye alikuwa akimrekodi. Halafu kwa kujua hivyo ndiyo maana huwa anawalazimisha wasaini NDA!
NN unless you didn't get my point right. I am not denying the fact that " tabia ya mtu ni mtu pekee na siyo base ya rangi, gender etc"But, is content of one’s character determined by skin color?
Ulichosema hapo pia kipo kwa wanawake wa rangi zingine, uongo?
Tabia ya Omarosa ni yake yeye mwenyewe na si ya wanawake weusi kama vile tabia ya ‘Cash me outside’ Danielle Bregoli ilivyo yake yeye na si ya wasichana wote wa kizungu.
Tabia haina rangi. Bali tabia huwa ya mtu.
Yaan my Dear black oppression is still there, though it hard to declare it openly.Precisely my thought.
Ni kweli kuna mgawanyiko.
There's the Omarosas and the like, ambao wanaweza kufanya hivi vitu. And if they decide to screw someone, they go the whole nine yards.
And then there's Condoleezzas, Oprahs, Michelles, Channing Dungeys, the Isabel dos Santos and many more who you can at least trust.