Omarosa na Trump

Marekani haina maji safi na yenyewe! Tatizo Trump hatembei kama Obama angekuja tumpe mbinu za kufikisha maji Vijijini.
 
Marekani ya kwenye vyombo vya habar na Marekani yenyewe kuna tofauti. Kwa aliyetembelea na kukaa maeneo tofauti tofauti nchini Marekani hilo analojua fika.
 

Thank you, I wish we had more women of substance and steel like Amarosa in Tanzania who can call a spade a spade, Not a big spoon!
 
AP source: It's not just audio, Manigault Newman has video

Yo!

Trump has an Omarosa problem that he seemingly can't shake it off quite yet.

Sasa bibie anadai si tu ana audio tapes...ana video tapes, emails, text messages n.k. kama ushahidi wa madai yake dhidi ya Trump.

Halafu anadai ataachia ushahidi wake kidogo kidogo kama team Trump wataendelea kumshambulia.

Omarosa nimemnyooshea mikono aisee. Yaani kumbe muda wote huo aliokuwepo hapo White House na kipindi yupo kwenye kampeni ya Trump, yeye [Omarosa] alikuwa na ajenda zake zingine kabisa.

Ila kuanzia sasa, ataenda kufanya kazi wapi na watu wakamwamini? Kama anaweza kumfanyia hivi rais wa Marekani, hao watu wengine je?

Ila Trump naye saa ingine anakuwaga mjinga mjinga sana. Mimi tu hivi from afar nilishangaa sana niliposikia eti Omarosa kateuliwa kuwa mmoja wa wakurugenzi hapo White House maana tabia aliyoionyesha kwenye Apprentice alionekana ni mtu asiyefaa kabisa.

What the hell was Trump thinking? I think he wasn't thinking...
 


O.M.G!, holy S! 😶

Mie nimeshangaa zaidi cos I didn't pay much attention kwenye Apprentice yake, nimeanza kumuona zaidi during the Campaign. She's a real Drama Queen!
Halafu Trump Campaign wametisha ku Sue, kumbe ndo wanachochea moto..

Kwa hiyo hivi anavyo revoke Security Clearance za some of top spies inawezekana ni kweli anajaribu ku draw attention away from the elephant in the room?!
 
Binafsi naona anajiharibia kuliko kumharibia Trump
Trump amesurvive makubwa kuliko

Angekua na recording ya N word angeshaiweka hadharani
 
Namfuatilia sana Omarosa wiki hii yote. Naona anajitafutia kiki na media zinampatia halafu litapita.
 
Anamuita Amarosa ni crying idiot and a Dog ila anadai hajawahi kumuita Negro. Maajabu haya. Trump is mentally retarded na sijui alipenyaje viunzi vyote mpaka akaukwaa urais
 
NB: There's no heaven on Earth. No country on earth that is 100% self sustained.
 
sema hicho kipindi japo kinaongeaga ukweli ila ni komedi. Pia huyo maza ni wa ovyo sana. Alirekodi mazungumzo white house na kuyasambaza.
 
Nasikiaga wanawake weusi wa kimarekani ni micharuko kumbe ndiyo kwa hivi?!. Kitendo hicho cha kurekodi ikulu si uhaini kabisa? kanikera kishenzi huyo mjinga.
 
NN nilichogundua kwa omorasa she had hidden agenda. And worse enough trump and co didn't see it at first.

Kwasasa amekuwa msumari wa moto sio tu kwa trump bali hata kwa baadhi ya watu wake wa karibu kama kina Kelly.

So does she think she can melt the iron in him?
 
All in all black women ni shida sana sana. They can't be trusted.
 
Nasikiaga wanawake weusi wa kimarekani ni micharuko kumbe ndiyo kwa hivi?!. Kitendo hicho cha kurekodi ikulu si uhaini kabisa? kanikera kishenzi huyo mjinga.


RG acha tu. Hawa watu ni shiider!
Wakati mwingine huwa naona Afadhali hata African American men. Waki boana sana they shoot each other na kuamua kuishia Jela, kukata mzizi wa fitna halafu basi. Hawanaga kuzungushana.

Sasa hawa wadada zao, haki they will peel your skin while you're alive and kill you slowly.
 
All in all black women ni shida sana sana. They can't be trusted.

Mimi sidhani kama tabia ya mtu ina uhusiano wa moja kwa moja na rangi yake ya ngozi.

Kuna wanawake weusi wengi tu wasio na tabia kama ya Omarosa na wapo wanawake wengi tu wa rangi zingine [Wazungu, Walatino, nk] wenye tabia tabia kama za Omarosa.

Watu wenye tabia za ajabu ajabu wapo kwenye kila jamii.

Hata Tanzania, wapo. India, wapo.

Bado sijashawishika kabisa kuwa kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya rangi ya ngozi ya mtu na tabia.

Omarosa naye yuko hivyo alivyo kama yeye binafsi. Hawakilishi tabia za wanawake weusi wa Kimarekani.

Hivi kweli unaweza kusema Omarosa na Condoleeza Rice wana tabia sawa?

Au Keisha Lance-Bottoms na Omarosa wana tabia sawa?

Omarosa ni Omarosa tu.

Mbona Trump naye ana mambo ya ajabu ajabu.

Duterte naye hivyo hivyo.

Magu naye hayuko mbali sana...

Hao watatu ni watu wa rangi tofauti kabisa.

Let’s not stereotype.
 
...Angekua na recording ya N word angeshaiweka hadharani


She has treasure trove of tapes, videos, text messages. About 200 tapes.

She's probably saving the Best for the Last.
 



Nawaza, if she's holding that power at the moment. And if she can really take down the most powerful man in the World.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…