Omari Nundu: Stand up and be counted!

Omari Nundu: Stand up and be counted!

Ninawashukuru nyote kwa michango yenu, vyovyote iwavyo - yenye chuki, yenye upendo, yenye kupeana nguvu na matumaini na hata ile inayolenga kunivunja nguvu na kunikatisha tamaa, yote ninaipokea na kuwashukura. Bila Shaka nimewafungulia uwanja. Omari Rashid Nundu

Bravo JF! Kumbe wakubwa wakipewa uweli wanaji enroll faster faster?
Mgosi, thank you very much for this brave spirit. Someone informed you about this thread and you have decided to come in and read it for yourself! Waambie wengine kwenye baraza la mawaziri.

Mheshimiwa, nina hakika hakuna mtu mwenye moja wa kukuatisha tamaa, isipokuwa watanzania ndio wamekata tamaa. Hizi lugha ni za mtu aliyekata tamaa

However, point taken!
 
Back
Top Bottom