Oluoch Ezekiah ni Jasusi? Kwanini aliahirisha kugombea Ukatibu wa TUCTA?

Queen V

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
775
1,332
Ni kwa Nini Oluoch Ezekiah Aliahirisha kugombea Kugombea Ukatibu Mkuu TUCTA Mwaka huu 2017?

(taarifa hii imewekwa leo tarehe 10.05.2017)

Ndugu zangu wapendwa Walimu na Viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania habarini za majukumu, na kwa kwa pamoja tuungane na wanafamilia waliopoteza watoto wao wapenda katika ajali ya tereh 6 mkoani Arusha (ajali hiyo ilihusisha wanafunzi zaidi ya 30 ni ajali mbaya na ya kusikitisha, Jukumu letu kama walimu, wazazi ni kwaombea Mungu awalaze mahali pema na kuwapa nuru njema. Ameni)

Sasa ni kwamba nimeona nitumie fursa hii kwa mara nyingine kuwafahamisheni ni kwa nini Ndg. OLUOCH EZEKIAH (Aliyekuwa naibu Katibu Mkuu CWT ambaye amevuliwa nafasi hiyo rasimi tarehe 8.05.2017 Jijini Dar Es Salaam) hakwenda Kugomgea Ukatibu mkuu TUCTA mapema mwaka huu?

Ikumbukwe kuwa kama nilivyowadokeza hapo awali kwamba huyu mtu kwa dhati ya moyo wangu mtu huyu ni jasusi, na laghai na tapeli tena muuaji kiasi kwamba wewe mwingine ukifikiria mita kumi mbele yeye kashafikira mita mia zaidi za kukuangamiza, Oluoch aliamua kutokwenda Tucta kwa sababu zifuatazo:-

1. Yeye dhamira yake kuu ilikuwa kuuwinda na kuupata Ukatibu Mkuu wa CWT mwaka 2020 kwani katibu aliyepo sasa Ndg Msulwa atakuwa anastaafu, kwa hiyo kwenda TUCTA kungempotezea malengo hayo ya kuupata Ukatibu mkuu

2. Oluoch amefanya wizi wa kutisha sana tena wa wazi tu kwenye kampuni ya maendeleo ya walimu yaani (TDCL) akishirikiana na katibu wake aliyeko makao makuu ya chama CWT aliyethubutu kutamnka kwa mbwembe na kiburi kabisa ndani ya BARAZA LA TAIFA wakati wa uwasilishwaji taarifa maendeleo ya kampuni hiyo kwamba TDCL ni kampuni ya ‘kishikaji’ kwa hiyo Oluoch angeoondoka CWT kwenda TUCTA engeshindwa kuficha madhambi yake.

Mfano mzuri ni hivi sasa ambapo CAG yupo ofisini CWT makao makuu kwa kazi maalumu kufany auhakiki kwa maagizo ya rais wa jamhuri ya muungano wa tanzani (tunaamini kwa uhakiki huu wa kitaalamu ubadhirifu wake mwingi na wa kutisha utafunuliwa)

3. wakati wa uanzishwaji Bank ya walimu yaani MCBL, ubadhirifu wa kutisha pia ulifanywa na Oluoch kwa vikao na ziara alizizofanya yeye na wale watu ambao ni ndugu zake tena akiwemo shemeji yake wa kutoka Chuo KIKUU cha Aridhi ambao walifanya kazi ya ovyo na ya kusikitisha sana. Sasa ni kwamba Oluoch engeenda TUCTA angeshindwa kulinda siri na hujuma zake za ubadhirifu huu.

4. Oluoch amekopa mkopo kutoka bank ya CRDB Tasilimu milioni 80 mwaka huu wa 2017 mwanzoni mwa mwaka, kwa kuwa alitegemea kuzilipa kwa kukatwa kwenye mshahara huku aktegemea kuishi kwa posho ambazo angepata kwa kuunda safari na ziara za forgery . hivyo basi angekwenda Tucta ansingekuwa na sifa ya kukopesheka kwa kuwa angekuwa na muda mfupi katika ofisi husika hivyo kukosa sifa ya kukopesheka.

5. Mwaka jana 2016, alifanya tricky mbaya sana za udanganyifu hadi Baraza likamwidhinisha kununuliwa Gari Land Cruiser Hardtop yenye mkonga kwa shilingi za kitanzania Milioni 168. ndugu zangu na Mungu anione ni kwamba Gari hili kwa kiwango kikubwa hulitumia kwa shuguli za familia yake kama vile kuendea sokoni, kanisani, na kubebea chakula cha MBWA ambacho huenda kuchukuliwa kila siku iendayo kwa Mungu pale chuo cha IFM na CBE kwa hiyo angeondoka huku CWT ni kwamba priviledge hii ya kiwizi wizi angeikosa. Ikumbukwe kuwa gari lake binafsi alilonalo ni bovu haliruhusiwi kuwepo barabarani

6. Kinachosikitisha ni kwamba yeye anasingizia kwamba walimu wan chi hii kupitia viongozi wao wakiwamo makatibu, wajumbe wa baraza, na KUT, ndio waliomkataa asiende Tucta kugombea, hivi ndugu zanguni niambieni ni forum gani ya walimu iliyomwambia asiende eti tu kwa sababu tunamhitaji sana yeye? Mkumbuke kuwa kupitia ile face book yake aliwahi kusema yeye ndie Think Tank la chama. Tangu lini mtu mwenye kiburi na dharau akaoneka mwema machini pa taifa?

7. Napenda kuutanabaisha uongozi wa CWT ujue wazi kwamba kwa kufukuzwa kwai kwake Oluoch (kitu ambacho ni haki yake kutimuliwa), yu mkini anaweza kufanya mambo kadhaa, japo makubwa ni haya matatu, kwamba

(a) Anabashiriwa kutoa siri za chama hadharani kwa kutumia vyombo vya habari na wapambe wake ambao hata katika kikao cha KUT juzi walijidhihirisha wazi kumtetea, na kwa taarifa tulizo nazo alihonga pesa nyingi kwa baadhi ya wajumbe majina yote tunayo wasipibadilika kwa kipindi cha siku chache, ijulikane kwamba majina yao tutayafikisha kwa Mwajiri mkuu muda si mrefu ili wachukuliwe hatua za kinidhamu, ikiwa ni pamoja na wao kumfuata huko alikokwenda Kiongozi wao ili wakapate muda mzuri wa kutafakari kwa pamoja. (chama hakiendekezi ubazazi)

(b) Anabashiriwa kuwagawa wajumbe wa BARAZA LA TAIFA kwenye kikao kinachotarajiwa kufanyika muda wowote kuanzia sasa.

(c) Anabashiriwa kuendelea kuzipata taarifa na nyaraka mbalimbali na muhimu za ofisi kwa kuwa bado wapo wafanyakazi wa makao makuu ambao bado wanaomuunga mkono kwani ni wazi kwamba wamekuwa wakifaidi matunda ya wizi huu kwa pamoja na ni dhahiri kwamba wangependa mfereji huu wa neema usizibwe ili waendelee kupata neema kwa kuwaumiza wengine.

8. Nashindwa kujizuia kuamini kuwa sasa anaweza kuisaidia CHAKAMWATA kikamilifu kwa kuwa kwenye ziara yake ambayo hajulikani kwa nini aliifanya mwishoni mwa mwaka jana alipotewmbelea mikoa ya Mbeya na songwe kila jioni alikuwa akifanya vikao na uongozi wa juu wa CHAKAMWATA ukiongozwa na katibu wake mkuu Meshack Kapange.

9. Ninakumbuka wimbo uliopigwa na band ya muziki ya wana njenje usemao “boko wala wenzio ujeo kesho naweutaliwa” hapa nawakumbuka akina Muna Kisuda, Nuru Shenkalwa, Shaushi, Mama Minja, Semgunda, na wengine wengi ambao mioyo yao imeteswa sana na Ndugu Oluoch Ezekiah, kuna mengi lakini itoshe kwani nikiyakumbuka aliyoyafanya mengine siwezi kuyanena hakika ila Mungu atahukumu kwa haki.

Amani iwe nanyi!

Ni
Mwalimu Mkereketwa (Asiyependa Hiana)
 
muyamalize huko mwalimu, chama cha wafanyakazi hakinaga mfanano na chama cha siasa.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Siasa za CWT
- Tatizo hapo ni pesa, kwanini hivi vyama vya wafanyakazi visiwe na watu tu wa kujitolea. Kumkata mwalimu 2% ya mshahara siyo kumtetea ni kumuumiza zaidi bila sababu
 
Inawezekana maana nasikia hata kwenye ujumbe wa NHIF alitumbuliwa sababu ya ufisadi mkubwa na wa kutisha
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Uwongo makubwa hakuna chochote Bali ni husuda na majungu tu.
 
Umemaliza vibaya japo una hoja sehem kadhaa.. Ungemalizia mimi mwalimu fulani bin fulan wa sehem fulan
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kwa hiyo wajumbe wa mkutano wa kuchagua viongozi wakaona bora wampe Kada wa CCM na katibu mwenezi wa CCM Iringa mjini ndugu Yahaya Msigwa ukatibu mkuu. TUCTA ni tawi la CCM kama yalivyo matawi mengine tu. Sasa kwa nini huyu Msigwa asijiuzuru ukatibu mwenezi wa CCM ili aitumikie TUCTA vizuri na bila mgongano wa maslahi?
 
Back
Top Bottom